Mwanaume wa Dar katika ubora wake

Mwanaume wa Dar katika ubora wake

Hahahahaaaaaa wanaume wa dar naona mnazidi kuchanganyikiwaaa
 
Hizo fashen ni za kisukuma,wakisimama wanaume smart na wenye kujua kutupia utawajua wasukuma na wanaume wa dar,huyo ngosha apo kajiona katupia
Wanaume wa dar mna mbwembwe sana halafu ni magoi goi kila sector
 
Hahahaaa, huyo mbona yupo humu JF, would you like to know her /his name?
 
Hahahaha wanaume wetu wa dar msikubali hahahahaha nimecheka sana
 
Ina mabega yenye marinda kama sare ya kitchen party...
 
Back
Top Bottom