Mwanaume wa Dar katika ubora wake

Mwanaume wa Dar katika ubora wake

Mbona analingana kivazi na yule wa nyuma yake?
 
Robo ya kwanza ya mwaka, tumesakamwa, sasa tupo robo ya pili ya mwaka, bado tu, tuambieni tulipowakosea tuyamalize kiutu uzima!
Hahahaaaa subiri bado kidigo yataisha.
 
IRINGA NA MBEYA HUKUTI WATU WA NAMNA HIYO. LABDA MWANZA,SHINYANGA, AU PANDE ZA KIGOMA.
 
Wanaume wa dar wote wanaitana et masho .......g
 
Wanaume wa Dar kuna kitu watakuwa wamewafanya wanaune wa huko mkoani, yani kila thread wanaune wa dar!! Wakati huo huo hao wa huko mikoani wanawatuiga wa huku dar. We are leaders kwenu....so kama unaona tunapotea basi jua wew mkia uko unafata huku tuendako. Japo siungi mkono vazi hili mana duh!!
 
Unamfahamu sheria Ngowi? unazifahamu kazi zake?
Kuwa makini na coment zako!
Unachafua brand ya biashara pasipokuelewa nini impact yake
Mbona umepanick ndugu vipi hehehe kwani hujui hii jukwaa gani poleeee
 
Hizo fashen ni za kisukuma,wakisimama wanaume smart na wenye kujua kutupia utawajua wasukuma na wanaume wa dar,huyo ngosha apo kajiona katupia
 
Back
Top Bottom