Mwanaume wa dar ametuchekesha sana leo

"Ndongo" ndio nini weyee mwanaume wa Dar?

Na huyu anakojoa akiwa amechutama?


View attachment 526562
Pia sisi ni wasafi, na watafutaji pia, ndio maana uchumi wa Tanzania tunaumiliki sisi! Kwa kuongezea ni kuwa tunaishi kisasa ndio maana kila ndoto za mtanzania yeyote timamu moja ya ndoto zake ni kufika dar ndio maana sisi ni kivutio cha wasomi kama wewe msomi na hujawahi kufika dar basi course yako bado hujaikamilisha.
 
Tatizo kuna wanaume wenzetu waliuliza mara NANI KAKUTEUA..?? Ukishaweka mwisho "question mark" maana yke wewe ni mwanamke. Jamaa akaona sio kesi. Akasepa. Na bado uzi unajaa maswali ya wanaume. Uzi tuwaachie wadada. Tumpuuze...!!!

Heri mimi hata sikufungua kuusoma, maana niliuona dizaini kama wa makapuku forum vile.
 
Pia watu wamikoani wana sifa ya kukurupuka sanay na mihemko mingi sana.
Huyu mwanaume mpuuzi kabsa
 
Inabidi wanaume wenzake wakaokoe jahazi!!walikua wanapima upepo hahaa
 
Wambie hao ndugu zetu jamii yawafugaji.
 
Sijui kwanini wanaume wa Dar wanakojoaga mkojo wakiwa wamechuchumaa
Haya matusi sasa. Kumbuka hata rais wako anaishi Dar na mashababi wote tuko Dar sasa unapotaka kugeneralise mambo haya siyo fresh kabisa. Huku sisi tunagonga tu awe wa hapahapa au aje wa bara au lije punga tunakung'uta tu. Habari iko namna hiyo msituchukulie poa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…