Mwanaume usikubali kutoa mahari kwenye kuoa

Mwanaume usikubali kutoa mahari kwenye kuoa

Kweli kabisa wasitoe mahari na mimba mpeane wenyewe wala msiwape..!!
 
Kumekucha.......
Ngoja niufuatilie huu mjadala kwa karibu sana!!!
20241223_231719.jpg
 
Mkuu hivi kwanini umejiita Benzodiazepine
what behind that name....
M'bongo ukimuuliza swali, naye anakuuliza swali. ☕🍵

Mkuu, hivi kwa nini unajiita 'Poor Brain'?
What is the story behind that alias of yours.?

On the other side, Benzodiazepine ni jina la kundi la dawa, katika pitapita zangu nikaliokota jalalani.
So, it is what it is.
 
Unawazungumziaje wale wanao panga dau kubwa kwenye kuozesha
Dau kubwa halipangwi tu out of blues, No, kunakuwa na sababu ya kuweka dau kubwa.
Mathalani, binti anatoka kwenye higher social class, hawawezi kukwambia ulipe 10k, watapanga kutokana na social class yao na sio yako wewe. Ukitaka Assimilation na binti yao lipa na ukiona huwezi unapita pembeni. Social classes ni kitu kikubwa sana kwenye maisha yetu.
 
Mmh! Kwa hiyo wasitowe mahari watowe nini?

Yote kwa yote haya mambo yapo tangia enzi na enzi huwezi kuyabadilisha kirahisi namna hiyo.
 
Mmh! Kwa hiyo wasitowe mahari watowe nini?

Yote kwa yote haya mambo yapo tangia enzi na enzi huwezi kuyabadilisha kirahisi namna hiyo.
Wazazi na wanandugu wanatakiwa wabariki tu inatosha na sio kumtoza pesa muoaji maana ndo inafaida kwa wote
 
Back
Top Bottom