Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,589
- 6,463
- Thread starter
- #41
Hio sio sawa kuna tamaduni inatakiwa tuachane nazo tusishikilie mambo ya kale tusiweke biashara kwenye ndoa , ndoa inatakiwa ibarikiwe tu inatosha sio kumkamua muoajiDau kubwa halipangwi tu out of blues, No, kunakuwa na sababu ya kuweka dau kubwa.
Mathalani, binti anatoka kwenye higher social class, hawawezi kukwambia ulipe 10k, watapanga kutokana na social class yao na sio yako wewe. Ukitaka Assimilation na binti yao lipa na ukiona huwezi unapita pembeni. Social classes ni kitu kikubwa sana kwenye maisha yetu.