Mwanaume unatembeaje barabarani una lamba chocolate?

Kwani kumung'unya sio kitendo cha kula???

( angalizo: Kula kunajumuisha kumung'unya na kutafuna na vyote hufanyikia mdomoni ambapo baada ya tendo husika hulimi husukuma kilichotafunwa au kumung'unywa tumboni )

Sasa hapa tofauti iko wapi???
Umesema INAMUNG'UNYWA mara unasema kuna dhambi gani WAKILA, kumbe haya maneno siku hizi yana maana sawa...

Any way vipi mkuu wew huwa unamung'unya?
 
Hizi tuhuma zinakwenda moja moja kwenu wanaume wa Dareselama...
Hii tabia ya kulamba chocolate imekaaje? yani nauliza kidume na mindevu yako umeng'ang'ana na chocolate inakuaje yani..

Hii tabia inezidi sana Dar mpaka inakera aisee, habari ya kulamba lamba muwaachie wanaopaswa kufanya hivyo... Mnatuaibisha vidume wa kweli.
Juzi tu hapa mlikua mnavamiwa na majambazi huko mikoani tukawa tunahuzunika wote, maaskari waliotakiwa kuwatetea wameua watu wawili Singida, tukahuzunika wote na kuoneshana udhaifu wa askari waliokuepo eneo la tukio.

Leo unakuja na uzi kutuona sisi wachumba, na wakati chokoleti hailambwi, ila kwakua umeweka huu uzi jukwaa la mahusiano naamini neno chololeti kuna kitu linamaanisha.
 
Hizi tuhuma zinakwenda moja moja kwenu wanaume wa Dareselama...
Hii tabia ya kulamba chocolate imekaaje? yani nauliza kidume na mindevu yako umeng'ang'ana na chocolate inakuaje yani..

Hii tabia inezidi sana Dar mpaka inakera aisee, habari ya kulamba lamba muwaachie wanaopaswa kufanya hivyo... Mnatuaibisha vidume wa kweli.
Ulitaka ameze bila kulamba..unajua

"No other race ridicule each other like human" na ubaguzi ndo unaanzia hapo hapo

Kama unamashaka na uwanaume wako ndo utakuwa unaogopa kula vitu flani ambavyo deep down unapenda lakini unagopa jamii itakuonaje

Mi nashauri kula chochote unachojisikia kula as long as mashine inafanya kazi hapo chini it does it make you less a man by consume what your soul desire
 
Badilini mitizamo yenu.. Chocolate ni kitu ya kawaida haibalishi tabia. Acheni kuwaza vitu KINYUME nyume
 
kweli miafrika mijinga kabisa sasa wapi kumeandikwa ICE CREAM inaliwa na wanawake pekee? hakika tunahitaji kutawaliwa tena kama ndo bado hata ustaarabu wa akili hatuna
 

Similar Discussions

6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom