Mwanaume unatembeaje barabarani una lamba chocolate?

We ujue kuna tofauti ya wavulana na wanaume, hao unaowaona ni wavulana halafu ukikutana na mvulana wa hivyo mpore halafu mzibe kelebu moja ondoka
mkuu ukifanya hivyo 'mungu' wa dareselama atakufunga, sijui na yeye ni mwenzao???!!!
 
Ukimuona mwanaume anakula chocolate njiani, huyo mwanaume wa mikoani tu. Wanaume wa Dasalamu tukila chocolate huwa majumbani au kijiweni. Lakini wanaume wa mikoani huona ufahari kuonesha kama wanakula chocolate kwa ushamba wao.
cc darcity Bitoz
 
Hizi tuhuma zinakwenda moja moja kwenu wanaume wa Dareselama...
Hii tabia ya kulamba chocolate imekaaje? yani nauliza kidume na mindevu yako umeng'ang'ana na chocolate inakuaje yani..

Hii tabia inezidi sana Dar mpaka inakera aisee, habari ya kulamba lamba muwaachie wanaopaswa kufanya hivyo... Mnatuaibisha vidume wa kweli.

Inaonesha hata chocolate huijuwi, toka lini chocolate ikalambwa? Labda ungesema shikirim ya chokoleti (chocolate ice cream) ningekuelewa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom