mtanganyika wa kweli
JF-Expert Member
- Apr 12, 2015
- 2,420
- 1,724
Nyani Ngabu Wewe Ni Wa Kishua Pande Za Obama Haya Mambo Huyawezi. Huku Uswazi Kwa Mama Ntilie Kuna Hadi Chakula Cha Sh 1,500/= Wali Maharage
kuna wali wa buku tu kw mama kifusi;waliokaa mabbo hostel wanajua hilo