Nguva Jike
JF-Expert Member
- Jan 22, 2018
- 857
- 1,006
Baadhi ya wanaume mnakoroma kama punda usiku mkilala fofofo mpaka kero. Jana kaja mkwe wangu loh sijalala kwa sauti za kukoroma usiku.
Priiiii priiiii pruuuii mpaka watoto wanashindwa kulala jamani sijui mnalalaje mpaka kukoroma kunakuwa kero kwa wanafamilia.
Mkija mseme mapema tuwatafutie chumba cha peke yenu kwa jirani.