Mwanaume unakoroma kama punda mpaka nashindwa kulala

Baadhi ya wanaume mnakoroma kama punda usiku mkilala fofofo mpaka kero.Jana kaja mkwe wangu loh sijalala Kwa sauti za kukoroma usiku.

Priiiii priiiii pruuuii mpaka watoto wanashindwa kulala jamani sijui mnalalaje mpaka kukoroma kunakuwa kero Kwa wanafamilia

Mkija mseme mapema tuwatafutiage chumba cha peke yenu Kwa jirani looh!

Mbona kisayansi wote Wanawake na Wanaume hua inatokea wanakoroma!

Hapa umefanya kama vile kukuroma kunatokea exclusively kwa wanaume tu!

Jesus!
 
Huyo mkweo kichwa chake nae sio kizuri,mtu anajua ukweni wana chumba na sebule yeye naye anataka kwenda kulala humo humo hapo mkwe huna?
 
Then wanaokoroma sana usiku Pia huwa walalavi wanalala vibaya unakuta mguu wake uko tumboni kwako, au au kichwani, sehemu uliyolala kalala yeye, , yani sijui hivi vitu vinauhusiano upi jamani???

Kwa kuwa wanaokoroma huachia mdomo wazi, jaribu kuwa unamfunga mdomo kwa sekunde kadhaa
 
Huyo mkweo kichwa chake nae sio kizuri,mtu anajua ukweni wana chumba na sebule yeye naye anataka kwenda kulala humo humo hapo mkwe huna?
Umejuaje kafika kwa ajili ya matibabu na hana pakufikia zaidi ya kwa wanae.acha kutetea ujinga,uyu Dada anapaswa kujua uyo Mzee ni baba yake pia.ameshaolewa uko ni ndugu tayari ajifunze kumsitiri kama vile ambavyo angemvumilia kama angekua baba yake mzazi .na kutafuta njia ya kumsaidia ilo tatizo.
 
Baadhi ya wanaume mnakoroma kama punda usiku mkilala fofofo mpaka kero.Jana kaja mkwe wangu loh sijalala Kwa sauti za kukoroma usiku.

Priiiii priiiii pruuuii mpaka watoto wanashindwa kulala jamani sijui mnalalaje mpaka kukoroma kunakuwa kero Kwa wanafamilia

Mkija mseme mapema tuwatafutiage chumba cha peke yenu Kwa jirani looh!
Asee huo usingiz ni mtaamuu wacha kabisa..
 
Haya ndo madhara ya wanawake wanaoolewa bila kupitia kwa somo kupata ushaur wa kuvumilia changamoto za ndoa
 
Mbona kuna wanawake wanakoroma kama punda vile vile hata kbl hajasinzia msituseme vibaya kwani ukiwa usingizini unajitambua ?bora yetu lkn nyie mnakoromeshwa na virungu wakati mkiviosha maraa oohooo ,iyiii,yeaah,jinga jinga bora yetu kororororoooo na tupo usingizini.
 
Hahahahahhaha Uwiiii mm nikiolewa na mwanaume anakoroma namziba mdomo na plasta mfyuuuu kero za nn
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom