Mwanaume unakoroma kama punda mpaka nashindwa kulala

Bila shaka unaongea na madanga.. Hapo kamtoroka mkewe, kakukula hajakufikisha kokoteeee na hana cha maana atakachokufanyia sasa usingizi hauji unasingizia kukoroma.

Pole.

Sisi wenye waume zetu tunafurahia kukoroma. Your man is sleeping beside you well fed, showered and sexed.

He is sleeping like a baby with no worry in the world. Kwanini asikorome.:p
 
Baadhi ya wanaume mnakoroma kama punda usiku mkilala fofofo mpaka kero.Jana kaja mkwe wangu loh sijalala Kwa sauti za kukoroma usiku.

Priiiii priiiii pruuuii mpaka watoto wanashindwa kulala jamani sijui mnalalaje mpaka kukoroma kunakuwa kero Kwa wanafamilia

Mkija mseme mapema tuwatafutiage chumba cha peke yenu Kwa jirani looh!
Mmhh mama tuvumiliage tu ndo tulivoumbwa ukijumlisha na sura mbaya yaani acha kabisa
 
Mvumilie kwa shida na raha, hakuna binadam aliekamilika, jilazmishe kusitiri aibu za mume wako
 
Du! nimewaza kitu nitamwambia baba yangu mzazi maneno haya:
"BABA UKICHOKA KUKAA HAPA KIJIJINI UKITAKA KUJA MJINI NAOMBA UJE KWA SISI WATOTO WA KIKE TU, USIENDE KWA WATOTO WAKO KIUME, WAKE ZAO (WIFI ZETU) HAWAWAPENDI"
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Baadhi ya wanaume mnakoroma kama punda usiku mkilala fofofo mpaka kero. Jana kaja mkwe wangu loh sijalala kwa sauti za kukoroma usiku.

Priiiii priiiii pruuuii mpaka watoto wanashindwa kulala jamani sijui mnalalaje mpaka kukoroma kunakuwa kero kwa wanafamilia.

Mkija mseme mapema tuwatafutie chumba cha peke yenu kwa jirani.
 
Dawa ni nini ya kuacha kukoroma? Wengine wanasema ni uzito wa mwili japo wapo wembamba wanakoroma, wengine wanasema ulevi ndo husababisha japo wapo wasiotumia kilevi pia hukoroma, wengine wanasema ukinywa pombe kali ndo utakoroma japo wapo pia wanaokunywa bia za kawaida tu hukoromaaaaa?

Sasa tutaliepuka vipi tatizo hili ?au halina tiba kama cancer or HIV?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom