Mwanaume unakoroma kama punda mpaka nashindwa kulala

Baadhi ya wanaume mnakoroma kama punda usiku mkilala fofofo mpaka kero.Jana kaja mkwe wangu loh sijalala Kwa sauti za kukoroma usiku.

Priiiii priiiii pruuuii mpaka watoto wanashindwa kulala jamani sijui mnalalaje mpaka kukoroma kunakuwa kero Kwa wanafamilia

Mkija mseme mapema tuwatafutiage chumba cha peke yenu Kwa jirani looh!
mpe chakula asishibe hata koroma kabisa mpe chakula kidunchu
 
Unamsema mkwe, shauri yako, utapata kochari ya mdomo

Vipi mumeo naye anakoroma au? Maana umesema wanaume wanakoroma
 
Baadhi ya wanaume mnakoroma kama punda usiku mkilala fofofo mpaka kero.Jana kaja mkwe wangu loh sijalala Kwa sauti za kukoroma usiku.

Priiiii priiiii pruuuii mpaka watoto wanashindwa kulala jamani sijui mnalalaje mpaka kukoroma kunakuwa kero Kwa wanafamilia

Mkija mseme mapema tuwatafutiage chumba cha peke yenu Kwa jirani looh!
Na unabahati huyo mkweo hakua ameshiba vizuri, maana kukoroma kunaendana sana na mashuti hasa wakati mwili ume relax....
 
Kumbuka pamoja na kukoroma kwake lakini ndiye aliyekuzalia mmeo, ambaye sijui kama wampenda!
 
Baadhi ya wanaume mnakoroma kama punda usiku mkilala fofofo mpaka kero.Jana kaja mkwe wangu loh sijalala Kwa sauti za kukoroma usiku.

Priiiii priiiii pruuuii mpaka watoto wanashindwa kulala jamani sijui mnalalaje mpaka kukoroma kunakuwa kero Kwa wanafamilia

Mkija mseme mapema tuwatafutiage chumba cha peke yenu Kwa jirani looh!
Huo ni kama ugojwa maana sio wanume tu mbona kuna wanawake nao pia wanakoroma kama dume la nyani
 
Baadhi ya wanaume mnakoroma kama punda usiku mkilala fofofo mpaka kero.Jana kaja mkwe wangu loh sijalala Kwa sauti za kukoroma usiku.

Priiiii priiiii pruuuii mpaka watoto wanashindwa kulala jamani sijui mnalalaje mpaka kukoroma kunakuwa kero Kwa wanafamilia

Mkija mseme mapema tuwatafutiage chumba cha peke yenu Kwa jirani looh!
Yaani unaacha kusikilizia ukuni wa meo unasikilizia kukoroma kwa baba mkwe basi mmeo atakua na kibamia
 
Ndo mana ndoa za cku izi zinavunjika huku vijana wakiogopa kuoa ndo mambo kama haya
 
Kama unampenda hilo sio tatizo yawezekana hata wewe hukoroma siku zingne na yeye hajaja kusema hapa.
 
Mtuvumilie jamani hatupendi kukoroma na tunatamani kungekua na tiba ila ndo hakuna namna
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom