Mwanaume unakoroma kama punda mpaka nashindwa kulala

Nguva Jike

JF-Expert Member
Jan 22, 2018
833
976
Baadhi ya wanaume mnakoroma kama punda usiku mkilala fofofo mpaka kero. Jana kaja mkwe wangu loh sijalala kwa sauti za kukoroma usiku.

Priiiii priiiii pruuuii mpaka watoto wanashindwa kulala jamani sijui mnalalaje mpaka kukoroma kunakuwa kero kwa wanafamilia.

Mkija mseme mapema tuwatafutie chumba cha peke yenu kwa jirani.
 
Hicho ndio kimekufanya uje huku kuanzisha thread.

Uzoefu wangu unaonyesha jana Valentine day ulilala na mwanaume na ilikua mara yako ya kwanza kulala kwake/kwako au hotel. Na si ajabu ulikereka na ukoromaji wake, ndio hivyo mpende hivyo jivyo na kukoroma kwake.

Mnaachika siku hizi kwa sababu hamtuzi siri za familia... Kidogo tu facebook twiter etc
 
Bila shaka unaongea na madanga.. Hapo kamtoroka mkewe, kakukula hajakufikisha kokoteeee na hana cha maana atakachokufanyia sasa usingizi hauji unasingizia kukoroma.

Pole.

Sisi wenye waume zetu tunafurahia kukoroma. Your man is sleeping beside you well fed, showered and sexed.

He is sleeping like a baby with no worry in the world. Kwanini asikorome.:p
 
Kwi kwi kwi kwi husbands RUKHSA kukoroma. Karucee at her best.:p

Bila shaka unaongea na madanga.. Hapo kamtoroka mkewe, hajakufikisha kokoteeee na hana cha maana atakachokufanyia sasa usingizi hauji unasingizia kukoroma.

Pole.

Sisi wenye waume zetu tunafurahia kukoroma. Your man is sleeping beside you well fed, showered and sexed.

He is sleeping like a baby with no worry in the world. Kwanini asikorome.:p
 
Bila shaka unaongea na madanga.. Hapo kamtoroka mkewe, kakukula hajakufikisha kokoteeee na hana cha maana atakachokufanyia sasa usingizi hauji unasingizia kukoroma.

Pole.

Sisi wenye waume zetu tunafurahia kukoroma. Your man is sleeping beside you well fed, showered and sexed.

He is sleeping like a baby with no worry in the world. Kwanini asikorome.:p
Nyooo
 
Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom