Mwanaume unakoroma kama punda mpaka nashindwa kulala

Vyuma vimebana, kutafuta pesa mama kwa sasa ni kama nguvu kazi ya ajabu, kachoka kimwili na kiakili, wategemea nini?!

Sasa hayo ndiyo maisha ya ukweli..
 
Yaani unaacha kusikilizia ukuni wa meo unasikilizia kukoroma kwa baba mkwe basi mmeo atakua na kibamia
Kuweka rangi fanya hivi: weka rangi[/color. Hapo kwenye doti badala yake weka alama hii]
 
kisa ni mkwe ndo maana unakasrika ..je, angekuwa mzazi wako kabisa ungediriki kusema hayo????? kumbuka mkwe wako ni mzazi wako pia
 
Baadhi ya wanaume mnakoroma kama punda usiku mkilala fofofo mpaka kero.Jana kaja mkwe wangu loh sijalala Kwa sauti za kukoroma usiku.

Priiiii priiiii pruuuii mpaka watoto wanashindwa kulala jamani sijui mnalalaje mpaka kukoroma kunakuwa kero Kwa wanafamilia

Mkija mseme mapema tuwatafutiage chumba cha peke yenu Kwa jirani looh!
*TIBA KWA MTU ANAEKOROMA*

MAHITAJI
Siki ya Tufah kikombe kimoja (250mil )
Asali mbichi kikombe kimoja (250mil )
Vitunguu Thaum punje kumi .

Changanya dawa hizo vizuri kisha weka kwenye brenda na uzisage vizuri.

MATUMIZI
Chukua vijiko viwili vya dawa hiyo koroga kwe maji moto kikombe kimoja kisha kunywa ,
Utafanya hivyo kutwa mara tatu siku 5-7.

Kwa ushauri na tiba za maradhi mbali mbali wasiliana nami

+255 655 821 550
Sulayman Sangida
 
Bila shaka unaongea na madanga.. Hapo kamtoroka mkewe, kakukula hajakufikisha kokoteeee na hana cha maana atakachokufanyia sasa usingizi hauji unasingizia kukoroma.

Pole.

Sisi wenye waume zetu tunafurahia kukoroma. Your man is sleeping beside you well fed, showered and sexed.

He is sleeping like a baby with no worry in the world. Kwanini asikorome.:p
Nakupenda
 
Baadhi ya wanaume mnakoroma kama punda usiku mkilala fofofo mpaka kero.Jana kaja mkwe wangu loh sijalala Kwa sauti za kukoroma usiku.

Priiiii priiiii pruuuii mpaka watoto wanashindwa kulala jamani sijui mnalalaje mpaka kukoroma kunakuwa kero Kwa wanafamilia

Mkija mseme mapema tuwatafutiage chumba cha peke yenu Kwa jirani looh!

Jirani ndo anataka watu wanaokoroma?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom