Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 11,910
- 21,958
πππππππππππππππππuwii
Mama nini?
πππππππππππππππππuwii
Mmmmm,we mkorofi
Si sahihi, kuna majina yanatumika pasipo stahili. Labda kama wana mtoto au watoto wanaelekezwa kwa baba yao. Binafsi kama mpenzi napenda aniite jina langu ukiacha haya majina ya romantic na sii kuniita baba.Habari za mida hii wakuu, nauliza wanaume mkeo au mpenzi wako akikuita baba unajisikiaje? Mfano anakwamia uko wapi baba? Pole baba , na wanawake ni sahihi kumuita Mume baba??
NothingUnajiskiaje
Hahahahahah Mr madaftari ya mtoto yameishaHahahaaa,,Mr hainogi. Mr inanoga ukiwa hayupo sasa unazungumziwa,, mfano Mr katoka akija nitamwambia, ivo. Sasa naanza Mr njoo ,,Mr nakupenda,,aku[emoji3][emoji3]
Mpaka raha yaaniπKHahahahahhh.. Wenyewe wanasemaga ahsante Baba.. Napenda sana[emoji38][emoji38]View attachment 1107812
Na kweli haionogi hata kwa kutamkaHainogi,[emoji3][emoji3][emoji3]
Upo sawa kabisa....Anampa heshima yake hapa dunia. Mie napenda kumwita jina lake[emoji23][emoji23]
Sawa mamaAisee mi hata kwenye..... Nikiitwa mama, naona furaha zaidi[emoji13]
Imekuaje kwani mamaHiyo avatar[emoji33][emoji33][emoji33][emoji33]
Binafsi nashikwa na hasira sana na kujifanye sijasikia mpaka nisikia 'Honey," "Dume la Mbegu" ndipo naiitikia. Demu akikuita baba basi juwa kishakuchoka huyoHabari za mida hii wakuu, nauliza wanaume mkeo au mpenzi wako akikuita baba unajisikiaje? Mfano anakwamia uko wapi baba? Pole baba , na wanawake ni sahihi kumuita Mume baba??