Mimi naitwa baba mjengoMe naitwaga boss.
Nikiwa mbele ya watoto naitwa baba lababaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee mi hata kwenye... Nikiitwa mama naona furaha zaidi😝
Heshima kubwa sana kakupa hapo... Na kwa mtu anaelewa hadhi ya kuitwa hivyo ni raha kweli kweliHabari za mida hii wakuu, nauliza wanaume mkeo au mpenzi wako akikuita baba unajisikiaje? Mfano anakwamia uko wapi baba? Pole baba , na wanawake ni sahihi kumuita Mume baba??
Tupo wengi jinaAnampa heshima yake hapa dunia. Mie napenda kumwita jina lake[emoji23][emoji23]
Acha dharau zako muite simba kama huyo anagawa proteinTupo wengi jina