Mwanaume unajiskiaje mke/mpenzi akikuita baba?

Mwanaume unajiskiaje mke/mpenzi akikuita baba?

Wengine hatupend bana watoto waniite dady na wewe dady..... Napenda baba sio dady

Ashawah niita dady nilivumiliaa mwsho nkamwambia bana wewe dady nn bana... Akaacha
Inategemea pia mko level ipi ya mahusiano. Nishampatia watoto huyo ni Daddy
 
Wangu babaake alifariki akiwa mdogo sana yani hajitambui, sasa naona mimi ndio nimekua baba la baba dingilai papaa, daddy mzee baba, yaani sms moja ina baba 2-3. Anyway nakapenda
 
Wangu babaake alifariki akiwa mdogo sana yani hajitambui, sasa naona mimi ndio nimekua baba la baba dingilai papaa,daddy mzee baba, yani sms moja ina baba 2_3. anyway nakapenda
Hadi raha yaani, ningekua mwanaume ningefurahi sana kuitwa baba na mke wangu
 
Habari za mida hii wakuu, nauliza wanaume mkeo au mpenzi wako akikuita baba unajisikiaje? Mfano anakwamia uko wapi baba? Pole baba , na wanawake ni sahihi kumuita Mume baba??
Najisikia poa sana ila mi kumwita 'mama' No asee!
 
Back
Top Bottom