Mwanaume ukiwa na pesa wanawake wote ni single

Chukua sentesi niliyoandika ,"Money isn't everything"
Mambo mengine legeza mishipa ya kichwa usichikulie Kila kitu unachokiona serious kama tunajibu NECTA
Money isn't everything in all other planets BT not here on Earth!
 
Pesa Sabuni ya Roho, Mtu mwenye pesa andika sio Mwenzio. Aliimba Rich One.


Mwanaume Ukiwa na Pesa na una familia Hata ukijieleza unaeleweka na unaonekana ni singoboi kabisa na Unapewa unachotaka.

Kosa Pesa hata Kwenye Ukoo hushirikishwi unapewa tu taarifa na ukihudhuria vikao wanakuletea kinywaji mirinda nyeusi hata bila kukuuliza utakunywa nini.
Taarifa,kwenye pesa sio mwenzio aliimba marijani rajabu,huyo mbongo fleva kakopi tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom