Mwanaume ukitaka kuishi maisha marefu fanya hivi

Usije ukathubutu ukaoa,katika vitu ambavyo mwanaume hutakiwi kufanya Ni kuoa,hakuna kitu ambacho ukiwa bachela unakikosa kwamba ukioa ndo utakipata,ila ukioa Kuna vitu vingi sana utakuwa unavikosa, hakuna jipya ndani ya ndoa, binafsi sijaoa ila nishawazalisha watatu,

Mwanaume hutakiwi kuoa,Kama unataka stress za Maisha na kufa haraka oa utakiona Cha Moto, mwanamke mzalishe tu then mtoto akifikisha miaka minne mpige chini huyo mwanamke tafuta mwanamke mwingine,huo ndo utaratibu wangu wa Maisha ya mahusiano na sijawahi kujuta....hakuna kitu ambacho mwanamke atakupa kwenye ndoa zaidi ya papuchi...ova,povu ruksa
Pleasure was not meant to be one-sided. Get your facts straight fella
 
Ok, sasa tuache hayo yaliyomtokea huyo rafiki yangu, sometimes mifano inatumika kwa faida yetu sisi tulio hai ili yasije kutupata kama yaliyo mpata huyo rafiki yangu!
Na huyo aliyemchoma moto mkewe huoni kama asingeowa ama kuolewa huyo mwanamke now angekua anakula raha na u bachelor wake
 
Usije ukathubutu ukaoa,katika vitu ambavyo mwanaume hutakiwi kufanya Ni kuoa,hakuna kitu ambacho ukiwa bachela unakikosa kwamba ukioa ndo utakipata,ila ukioa Kuna vitu vingi sana utakuwa unavikosa, hakuna jipya ndani ya ndoa, binafsi sijaoa ila nishawazalisha watatu,

Mwanaume hutakiwi kuoa,Kama unataka stress za Maisha na kufa haraka oa utakiona Cha Moto, mwanamke mzalishe tu then mtoto akifikisha miaka minne mpige chini huyo mwanamke tafuta mwanamke mwingine,huo ndo utaratibu wangu wa Maisha ya mahusiano na sijawahi kujuta....hakuna kitu ambacho mwanamke atakupa kwenye ndoa zaidi ya papuchi...ova,povu ruksa
aisee hizi stress nyingine
 
Kuna umri utafika utqjuta kwa upweke. Na hasara ni yako maana hao watoto uliowazaa watajazwa sumu mwisho ukifika uzeen watakuwa hawana muda na wewe.Na ikitokea watalelewa na mama wa kambo tegemea mengine. Ila ukifika 50+ na 60+ utaelewa maisha yqpoje jitafakari
 
hujaelewa mada,hata mtu akiwa ana miaka 60 anaweza akaishi na mwanamke ingawa hajamuoa
 
Tupe orodha ya wanaume walioishi maisha marefu sababu hawakuoa
Na orodha ya wanaume walioishi maisha mafupi sababu walioa

Kisha tufanye ulinganifu
 
Back
Top Bottom