Mwanaume ukitaka kuishi maisha marefu fanya hivi

Pablo Blanco

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2016
Messages
5,475
Points
2,000

Pablo Blanco

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2016
5,475 2,000
Usije ukathubutu ukaoa,katika vitu ambavyo mwanaume hutakiwi kufanya Ni kuoa,hakuna kitu ambacho ukiwa bachela unakikosa kwamba ukioa ndo utakipata,ila ukioa Kuna vitu vingi sana utakuwa unavikosa, hakuna jipya ndani ya ndoa, binafsi sijaoa ila nishawazalisha watatu,

Mwanaume hutakiwi kuoa,Kama unataka stress za Maisha na kufa haraka oa utakiona Cha Moto, mwanamke mzalishe tu then mtoto akifikisha miaka minne mpige chini huyo mwanamke tafuta mwanamke mwingine,huo ndo utaratibu wangu wa Maisha ya mahusiano na sijawahi kujuta....hakuna kitu ambacho mwanamke atakupa kwenye ndoa zaidi ya papuchi...ova,povu ruksa
 

Pablo Blanco

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2016
Messages
5,475
Points
2,000

Pablo Blanco

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2016
5,475 2,000
Kuoa au kutokuoa ni sawa tu inategemeana na aina na mahitaji ya mtu. Kwa mfano mimi nikioa nitakuwa najitesa tu ila kwa mwingine inaweza ikawa tofauti. I view marriage as a superfluity rather than necessity..
mzee unapiga ngeli,ilibidi niende kwenye kamusi kidogo
 

Ulweso

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2016
Messages
12,862
Points
2,000

Ulweso

JF-Expert Member
Joined May 24, 2016
12,862 2,000
wanavumilia nini???,mwanaume ndo anavumilia mengi,cause mwanamke anachompa mwanaume kwenye ndoa ni sex tu tena nayo ina excuse nyingi,mara mwanamke hajisikii,mara amechoka, lakini mwanaume anamuhudumia mwanamke kila siku bila kujali hajisikii au amechoka,anakuhudumia wewe, wadogo zako mpaka wakwe,wewe unachompa sex tu tena humpi kila siku, mwanamke ndiye anayepata faida kwenye ndoa
Nani kakwambia hayo ingekuwa ni hayo tu wanaume si wangeishi ubachera sugu, mkuu kama hujui ndoa soma tu comments za watu, kuna mwanamke alikuwa anasakamwa na ndugu wa mmewe kuwa anamnyanyasa ndugu yao, siku siri imetoka nje ni aibu baba ana miaka zaidi 2 hata hiyo sex unayosema hakuna lakini mke anavumilia tu nakutunza siri alikuwa na mmewe kama mwanaye tu
 

Ulweso

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2016
Messages
12,862
Points
2,000

Ulweso

JF-Expert Member
Joined May 24, 2016
12,862 2,000
Kifo kipo tu haijalishi umeoa au hujaoa ikifika siku yako utakufa tu,ila hiyo stail ya kuwazalisha bila kuwaoa sikuungi mkono kabisa ,huko ni kuongeza watoto wa mitaani.Kama umeamua kuishi kibachela ishi hivyo mpaka kifo.
Kifo kipo tu siku ikifa ni popote tu
 

hearly

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Messages
34,888
Points
2,000

hearly

JF-Expert Member
Joined Jun 19, 2014
34,888 2,000
Tuko pamoja kabisa..kuoa nikujimaliza kwa stress
huwa nawaza sana juu ya kuoa, nafanya analysis wala sioni faida ya msingi ya kuoa. Kama naweza pata mwanamke na kumzalisha hata watoto watatu then nachukua watoto na kuachana na mama yao, what is marriage for! Sitaki stress za ndoa mimi. Naunga mkono hoja ya mtoa mada.
 

hearly

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Messages
34,888
Points
2,000

hearly

JF-Expert Member
Joined Jun 19, 2014
34,888 2,000
Aisee
Mwanamke???/!!!! inabidi turudi tu kwa manufacturer tumuulize namna ya kuishi na hiki kifaa chake! kwani ni complicated Kaka! wakati naoa nilikuwa naona raha kweli, lakini kwa sasa, papuchi mpaka uipige ni kama muujiza aisee, nina 97% za ku summerise hii ndoa aisee!
 

hearly

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Messages
34,888
Points
2,000

hearly

JF-Expert Member
Joined Jun 19, 2014
34,888 2,000
Watu wengi sana walio nfani ya ndoa waapitia hii condition
Ha ha ha ndoa ni kama muwa kaka, unapoanza huwa tamu kuanzia pingili ya kwanza toka kwenye shina ila utamu hupungua polepole hadi kufikia kwenye tindi upepo umebadilika kabisa! Unaweza juta kwanini ulioa maana inaumiza sana pale mwanamke uliemchagua kwa confidence anakuwa chanzo cha stress for the rest of your life, inafikia mahali mpaka huatamani kurudi kwako maana hamna comfort yoyote zaidi ya kero tu! Papuchi yenyewe unapewa kwa mbinde na masimango tele ulalamishi hauishi dah yani acha tu!
 

Forum statistics

Threads 1,381,735
Members 526,184
Posts 33,810,340
Top