Mwanaume ukitaka kuishi maisha marefu fanya hivi

Mtoa mada yupo sahihi kwa 100%, vifo vingi vya wanaume vinasababishwa na wanawake, ukitaka kuamni hili chunguza ndoa nyingi leo zina matatizo watu wanaishi kwaajili kulea watoto na kuvumiliana tuu. Wanaume wengi waliopo kwenye ndoa ndo wanakufa mapema kuliko ambao hawapo kwenye ndoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
ndoa = matatizo mzee.nawauliza watu wanitajie faida tatu za ndoa naona kimya tu vipi wewe ushaoa??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom