ANKO JEI
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 1,278
- 2,364
- Thread starter
- #21
Wanaume tuna kazi sanaUsipojua kumpiga miti kisawasawa ni kazi bure
Umemkuta kule kwenye 3 some nini?Daah we jamaaa unapenda kweli mambi ya gomora gomora
Mnacomplicate mambo hakuna lolote
Wa moja wewe unapenda kufanyiwa kinyume pia?Kupigiwa, kufuliwa n.k?
@Meeyah kwa hio na wewe hua unapenda kufanyiwa kinyume?Mnacomplicate mambo hakuna lolote
Kinyume na wapi?@Meeyah kwa hio na wewe hua unapenda kufanyiwa kinyume?
Maendeleo hayana chama
Kwa hio hii mada haujailewa kua yatupasa sisi wanaume tuwe tunawafanyia kinyume wapenzi wetu?Kinyume na wapi?
Sijaielewa mkuu. Nawaachieni mlioelewa mzungumzeKwa hio hii mada haujailewa kua yatupasa sisi wanaume tuwe tunawafanyia kinyume wapenzi wetu?
Maendeleo hayana chama
Basi sawa Ila kikubwa ni kuwafanyia kinyume na vile mlivyozoea.Sijaielewa mkuu. Nawaachieni mlioelewa mzungumze?
Umfanyie haya yote na bado hela umpe? Yaani utakuwa unatafuta hela halafu unarudi haraka home kumpikia? Wajibu wake katika mahusiano yenu Utakuwa upi? Kukupa papuchi tu? Come on! Hii ni zaidi ya ubwege, utakuwa kwa hiyari umeamua kuwa mtumwa wake.Habari wakuu,
Msinielewe vibaya na hiyo heading,nimekaa nimefikiria sana kuhusu kuboresha maenzi na hawa wanawake,kwa uzoefu wangu mdogo nilionao nimegundua kuna vitu vinapuuzwa ila vikifanywa,mwanamke anafurahi kwakua inakua very romantic,nakupa mfano,binafsi nilikua napenda sana misosi mitamu so nikajifunza kupika vyakula mbalimbali,hivyo ninapokua na mpenzi napenda kumpikia na kumuandalia kila kitu on the table,hiki kitendo huwa naona kabisa mwanamke anafurahia sana,na kuna vitu vingi vimezoeleka mwanaume ndo afanyiwe ila ukifanya kinyume na ukamfanyia mwanamke anafurahi,mfano ukimfulia anafurahi,badala ya yeye kubeba vitu vyako ukambebea mkoba anafurahi,badala ya yeye kukufunga kama za viatu mfunge yeye kiatu chake inakua romantic ndomana unaona vipicha vya mwanaume kumfunga kamba za viatu mwanamke vinazagaa sana kwasababu it looks ROMANTIC.
-Anko Jei
Sent using Jamii Forums mobile app
Mapenzi ya kiboya sana hayoHabari wakuu,