Mwanaume tafuta Hela Ndugu waje kukutembelea

VERBOSE

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
8,145
Reaction score
12,745
Yangu ni hayo tu, leo sijisikii kuandika gazeti kubwa la Serekali kwa mada za kueleweka km hizi ili nikuchoshe sio vizuri kabisa mimi sihitaji kukuchosha mkuu, nimejisikia kukukumbusha tu.

Sasa wewe kaza hilo shingo lako tegesha hilo fuvu usitafute hela halafu uone km kuna ndugu atakutembelea hata ukilazwa.
Amka hapo nenda ukatafute hela.
Acha uvivu.
Muone.
 
Hii ni kweli, kuna jamaa yupo kwenye late 30yrs amefanikiwa,kuna wazee kila mwaka huja ugeni unajiuliza hawa wazee kweli wa kuja kweli kwa kijana mdogo namna hii tena kila mwaka! Ingekuwa afadhari kidogo labda angekuwa mzee mwenzao ningesema wanakuja kutambika na kuchukua nasaha za mzee mwenzao kuhusu mambo ya kale. Ukiwa na hela hata ukiwa kijana wazee wanakutambikia.
 
Hizo ni hela mkuu ndugu wanakuja wanajua kuna uhakika wa kula, kunywa, kupishana chooni, kila siku ni birthday party pesa imejaa mfukoni tafuta hela mwanaume
 
mi kila siku naamka ila sizioni,, naomba nielekeze chimbo lako na mimi nizamie liwalo na liwe
Umenikumbusha, kuna sehemu nilikua napita daily sasa hio sehemu kulikua na binti anauza ubuyu kwenye meza daily hapati wateja wengi ila anauza kidogo, sasa kuna kijana akamfuata akamuuliza wewe kwa siku hapo unaingiza shingapi? Akamwambia kiasi fulani, akamwambia sasa yeye anapofanyia kazi akimpeleka atalipwa mara 4 na zaidi ya hio anayoipata hapo yupo tayari ampeleke? Binti akamwambia hata sasa hivi yupo tayari ampeleke, kijana akamwambia kesho asubuhi tutaenda je unaweza kuamka asubuhi sana? Binti akasema naweza, sasa hivi binti haonekani tena na ukikutana nae sio yule uliemjua mwanzo, pesa zinabadirisha watu wanakua watu wapya sio watu wa zamani, tafuta hela mkuu
 
nikatafute wapi? basi tufanye wew ndo huyo kijana alf mimi ndo huyo binti hebu nielekeze hilo chimbo na mimi nibadilike mpaka mnisahau
 
Yangu ni hayo tu, leo sijisikii kuandika gazeti kubwa la Serekali kwa mada za kueleweka km hizi ili nikuchoshe sio vizuri kabisa mimi sihitaji kukuchosha mkuu, nimejisikia kukukumbusha tu.

Sasa wewe kaza hilo shingo lako tegesha hilo fuvu usitafute hela halafu uone km kuna ndugu atakutembelea hata ukilazwa.
Amka hapo nenda ukatafute hela.
Acha uvivu.
Muone.
Nilishacha kabisa habari ya kumlalamikia mshikaji au ndugu aliyekuja mkoa naoishi nikasikia amekuja halafu hajanitafuta.

Huwa nacheka tu kwa sababu kinachowavutia sina kwa sasa! Watajileta tu nikizipata
 
na ukizipata watakuja waharibu chanzo chako cha mapato,mipaka ni sahihi kabisa ila usiache kuwasaidia
 
Nilishacha kabisa habari ya kumlalamikia mshikaji au ndugu aliyekuja mkoa naoishi nikasikia amekuja halafu hajanitafuta.

Huwa nacheka tu kwa sababu kinachowavutia sina kwa sasa! Watajileta tu nikizipata
Ndugu hawaji ukiwa haunukii harufu ya noti
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom