mwanaume sio mtu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mwanaume sio mtu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Bishanga, Aug 24, 2012.

 1. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #1
  Aug 24, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Mi sijali,we nenda uendako,rudi asubuhi,mtoto aumwe poa tu nitampeleka amana,nizae na wewe unifanyie vituko,unalala huko huko,waongo sana wanaume,umalaya tu,mnatutesa sana lakini mjue yote kwa yote mtato....bewa tu...........niko uswazi hapa napost live ishu, mdada anamwaga sera wakati tunasubiria mechi ya barca/real madrid.
   
 2. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #2
  Aug 24, 2012
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  Kesho lazima uchelewe kazini na hiyo El Classico match labda kama uko likizo..

  Halafu muda kama huu mamsapu anakusubiri mmpeane pole kwa shughuli za siku nzima jamani ikiwemo kuongea kidogo!!
   
 3. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #3
  Aug 24, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Kwanza hata sijui shwaitan gani kanituma kuja mitaa hii.
   
 4. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #4
  Aug 24, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,654
  Trophy Points: 280
  Aaah,sisi mabachala hatuna tabu,tuko na al Clasico!
   
 5. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #5
  Aug 24, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Naona moja moja ronaldo/pedro,mechi kali.
  Oa lakini mkuu,ina raha yake.
   
 6. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #6
  Aug 24, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Na wewe ukirudi home si unajua eeh! Kwanza unatukanwa kama mwenzio, afu unapigwa. Ama siku hizi kakua kaacha kukupiga?
   
 7. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #7
  Aug 24, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Nshazoea.
   
 8. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #8
  Aug 24, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,654
  Trophy Points: 280
  Yah muda muafaka ukifika na muolewaji akipatikana,nasaka hapatikani asalaleeee!
   
 9. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #9
  Aug 24, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Mkeo kaamua kukuchamba leo eeeh? Heheheheeee swaaafi sana. Btw, your wife (my girlfriend) loves me.
   
 10. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #10
  Aug 24, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Jaribu 'love connect' watu wanaoana huko kwa kwenda mbele.
   
 11. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #11
  Aug 24, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Arrrrrooooo sijakuita kwenye thread yangu,nitakugecha ujue.
   
 12. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #12
  Aug 24, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,869
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  i see........
   
 13. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #13
  Aug 24, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Linakuhusu hilo, wewe usiku huu hujarudi nyumbani!
   
 14. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #14
  Aug 24, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Duh, kwahiyo sijapatikana tu!
   
 15. stephot

  stephot JF-Expert Member

  #15
  Aug 24, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 5,015
  Likes Received: 2,630
  Trophy Points: 280
  Hapo pamesha haribika unatamani umwambie punguza sauti lakini haiwezekani,ndio silaha aliyowajalia Mungu,anaku-punish kwa kutumia mdomo wake,huwa naogopa ikishafikia hapo,na hapo lazima uwe mpole tu kwa wengine kinachofuatia hapo ni kuanza kutoa dozi ya mkog'oto.Eee Mungu niepushe na hilo balaa.
   
 16. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #16
  Aug 24, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Eeeeh kweli mtato....bewa tu haya bhana...
   
 17. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #17
  Aug 24, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  Hizo zilikua hasira tu. Hata kama una hela vipi bila mwanaume hela zako si chochote. Hawa ndugu zetu wakisha kasirika hawana breki wala sitaha. mia
   
 18. Scofied

  Scofied JF-Expert Member

  #18
  Aug 24, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,017
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  me nilijua tutapigwa tu ndo maana nikajilalia zangu...kweli sisi si watu kwanza tunamiguu mitatu....
   
 19. Ennie

  Ennie JF-Expert Member

  #19
  Aug 24, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 7,145
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Wakati mkeo anapigwa na baridi usiku wote huo! Kweli wanaume sio watu.
   
 20. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #20
  Aug 24, 2012
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  baada ya El classico.. hukujitolea kumpoza hasira huyo mdada Magendoni(gasti hau..)
   
Loading...