high vampire
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 2,951
- 2,193
jaman jaman acheni kupotosha mapenz ya kwel yapo sana tena makubwa 2 wala si pesa cku hz kila m2 anajua kutafuta.
haki ya nani nikikosa mke mzuri uzembe wangu...
we jidanganye uingie kichwa kichwa kifungo kile wewe mtu hana hela jiambie atafuta ndani aah wapi? pesa kwanza mapenzi badaejaman jaman acheni kupotosha mapenz ya kwel yapo sana tena makubwa 2 wala si pesa cku hz kila m2 anajua kutafuta.
jaman jaman acheni kupotosha mapenz ya kwel yapo sana tena makubwa 2 wala si pesa cku hz kila m2 anajua kutafuta.
hahahahahahaha uwiiii!! Ama kwel kuzaliwa mjini 4rm six!
Hiyo ndoa ilifungwa mwaka jana, Kampala Uganda. Ilikuwa harusi nzuri na ya kipekee.
Ilionyeshwa adi kwenye taharifa ya habari na walizungwa kwenye gari za wazi katika vitongoji vya kampala na watu waliwashangilia sana.
Mwisho wa mwaka jana jamaa akaingia studio kurecord nyimbo.
Uyo jamaa ana pesa lazima wanaume suruali muone wivu