Mwanaume Mwenye Pesa Ndo Mpango Mzimaaaa!!!!!!!!!!!

lara 1 ,wakubwa wanasema usishike kitu kwa mkono wa kushoto maana waweza kuhisi umekipoteza!
"
Kama hujanie lewa niambie nikueleweshe!
 
Last edited by a moderator:
hivi wenye pesa wanapatikana wapi Jamani. Nataka nimuache huyu kahuchu wangu

Wanaume wa sept .forbes billionaire na millionaire wote sept.na wachache wao wamefulia kweli.mpige kibuti hafai tafuta wa sept
 
Mwana FA anakwambia mwanaume kuwa na pesa ni sawa na demu mzuri.. Unafanya masihara kuporwa Jokate na mtu kama Hasheem Thabiti??! Hala hala jaman tutafute pesa.
 
Wanaume wa sept .forbes billionaire na millionaire wote sept.na wachache wao wamefulia kweli.mpige kibuti hafai tafuta wa sept

Hahahaahaha Nat, mie hoi hapa mwenzio. Yani nishaanza kupanga bajeti kbs. Mana nikimkamata atakoma
 
kwa hiyo mwanaume pesa ndevu urembo?????


Ila kwa siye wengine tumelelewa mwanamke kupambana, lazima uwe na mpunga wako, uweze kujimix na ufike pale juu kwa nguvu zako............acha nipite, lara 1 ntarudi kuna kimeo nakisawazisha.........



Ooo bai ze wau wanaume mmeona hii???? Wapi Dark City?
 
Last edited by a moderator:
nishasenaga na nasema tena "Sitaki demu/mke na V.A.T"....ina lara 1 nikakuoa alafu ikafika kipindi mpunga ukapungua na kuisha kabisa,je utaniacha uende kwa mwingine?''''''jibu kwanza hili alafu...nitarudi
 
Last edited by a moderator:
lara 1 leo nakubaliana na mada yako ktk muktadha huu: uloyasema yote yana apply if ukiwa na a man mwenye nazo wengi wanapinga bt ndo ukwel wenyewe myb kwakuwa pesa imekuwa ngumu kupatikana wengi wanahustle lakin hola....so nawa-advce wapambane kwani hata muumba aliwapa jukumu la kula kwa uchungu. Kuwa na loser ni mtihan hutaenjoy mengi!! Kwa upande mwingine mwanamke naye anatakiwa kupambana azimake ili kusupplement kwan si kazi ya mwanamke kuprovide ila akihelp c vibaya kwa ulimwengu wa leo bt mwanamke ukibahatika ukampata mwenye nazo u wil b like a queen with other factors remains constant!!!
 
Last edited by a moderator:
Acha ubahil kijana tafuta pesa usikalie malalamiko!
nishasenaga na nasema tena "Sitaki demu/mke na V.A.T"....ina lara 1 nikakuoa alafu ikafika kipindi mpunga ukapungua na kuisha kabisa,je utaniacha uende kwa mwingine?''''''jibu kwanza hili alafu...nitarudi
 
Last edited by a moderator:
Mie nisokua nazo nguvu zangu ndo mtaji wangu! Lara ukinionjesha mara moja tu utakua kaa Robin Hood, unavuna kwa kibuzi chako unakuja kunispoil kudadake!
 
Huyu mtoa mada mbona anamawazo membamba sanaa!

Hivi kutoka na tajiri au kuolewa na tajiri ndio mwisho wa matatizo yote?
Hivi Furaha na amani ya ndoa ni pesa pekeyake?
Hivi hakuna wanawake wanaoweza kuwa matajiri kama wanaume?
Fikra za ulemavu wa utegemezi kwa m'ume hauna ukombozi?

Hiyo mada itakuwa na maana sana kama mwke ni masiriamali wa kimapenzi.
 
Acha ubahil kijana tafuta pesa usikalie malalamiko!
sio swala la ubahili,tutafute wote ,tutumie wote na sio zote......ma-chick wa sikuhizi tatizo mmeweka pesa mbele,alafu mapenzi mmeweka mkiani
 
Dawa yenu moja tu.unapigwa advertise za nguvu first date mpaka unaona hapo umeukata,unatoa nyuchi chap chap na tigo juu umkoleze msela namega na kuingia mitini vibaya mno.we unaishia kutandika msiba
 
Wanaume wasio na pesa ni wakukimbiwa.yaani sometimes I wonder wanawake wenye Wanaume wasio na pesa wanakubali Vipi hii mijitu.poor men is not attractive.Dead beat men need to stop dating very Hard looking

mmmh loh tusio na pesa tunakazi, ndo maana tunawamega kisha tunawatupa kulee.
 
Kama kawa kama dawa nimeletakwenu Mada dume, mada champions league! Lazima pachimbike hapa! Hii ni kazi chafu ila lazima mtu aifanye, na huyo mtu ndo nimejitoa muhanga!!!!!


Kama kawaida, lazima JF ukute mada sogeza weekend.
 

I support you to some extent!

The facts which pains a bit to many. Ila wengine watabisha!
 
Mwana FA anakwambia mwanaume kuwa na pesa ni sawa na demu mzuri.. Unafanya masihara kuporwa Jokate na mtu kama Hasheem Thabiti??! Hala hala jaman tutafute pesa.
huwa nakiamini sana hiki kichwa kwa mashairi ya akili!
 
There are people who try to fill the emptiness of the heart with material possessions, money, power and sex. In the end they find themselves very miserable!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…