Mwanaume Mwenye Pesa Ndo Mpango Mzimaaaa!!!!!!!!!!!

lawyer utanifanyia bure au na hela? Lol

Hakuna mwanasheria anayetoa huduma bure, let alone kukopesha.

Labda no win no fee, otherwise lazima unilipe.

Don't wanna be another victim bana. lol.
 
Hakuna mwanasheria anayetoa huduma bure, let alone kukopesha.

Labda no win no fee, otherwise lazima unilipe.

Don't wanna be another victim bana. lol.

jamani, hata kama no free lunch mi si nadoea kidogo tu simalizi chote! Lol!
Haya lawyer wangu, ngoja nijipange..
 
jamani, hata kama no free lunch mi si nadoea kidogo tu simalizi chote! Lol!
Haya lawyer wangu, ngoja nijipange..

Una maana unipe free lunch ili nikuwakilishe au mie nikupe free lunch?

Jipange fasta basi, unajua tena Krismasi ndiyo inabisha hodi na nataka kufanya white Christmas.

Na mti wenyewe wa Krismasi bado sijanunua.

snowhite keshanizungua.
 

Hizi debate mbona zinaibuka tena? Nakumbuka wakati niko UDSM kuna dada mmoja alikuwa anajigamba kama hivvyo, hadi leo amebaki nungaembe na wenzake tunapeta! Mali ambayo unakuwa nayo na raha ni ile ambayo umeshiriki kuitafuta. Hiyo utaitetea kwa nguvu zote. Ukinikuta nina nyumba na gari, kaa pembeni hizo sio mali zako wewe! Mali zako ni makalio tu niliyoyapenda na si vinginevyo.
 
Chezea nguvu ya pesa wewe, yuda kamsaliti yesu kwa sababu ya pesa.
 
In one way or the other naeza kukubaliana na wewe Lara on the basis ya mazingira na what the world is today irrespective ya gender.(no generalisation)Wanaume hupenda kusema wanawake ni materialistic but in reality they are sana tu.how many men wanawaacha wake waliotafuta nao kwasababu ya a girl who has big boobs,a@,etc..?aint that materialism? and at the end wanasema mke sio umbo na sura bali tabia,je mume ni nini?The world today ni just a b.trade and its just so dissapointing that trade iko hadi in very important matters like relationships,marriage,Kabla ya some men pointing fingers on women who value money,let them look at themselves and how many times they have used their money over whats really important or how many times materials zimekua more impoprtant than their families or relationships?2.we differ in perspective,if money sio important kwako,it is to another..sometimes hua najiuliza,whats the point of suffering na mwanaume ambaye at the end of the day huna guarantee that he will appreciate that or mwingine ndo atakuja kutumia all your hard earned money?BUT i based on what i believe in,i stay grounded to that.so,pesa ni muhimu kwenye mahusiano ila to some sio kila kitu.
 
ndio maana mnaliwa hata visivyoliwa kwa kupenda kwenu pesa.
 
Pesa jawabu la matatizo yote yanayotaka pesa....haya sasa pale unapotatua yasiyotaka pesa na pesa...jibu unalo:glasses-nerdy:...mchanganyiko wa pesa na imani waleta raha:becky:.
 
MR. ABLE msalie mtume.... sasa afanyeje kama ndivyo alivyoumbwa jamani. nina imani tungekua twajiumba wenyewe, hata wewe usingekua hivyo ulivyo. Acha kashfa, kibaya kwako kizuri kwa mwenzio. tena hao wa design hiyo ndio kutwa wanaolewa, hao unaowapenda wewe wanaishia kua magumegume, ndio wanaotafunwa kama BIG G na kutemwa.

Mwanamke makalio na chuchu saa sita huna hivyo kaakushoto.
Sio unanijia hapa na makalio ya kijapan ukijumlisha matiti mpaka udeki ndo yasimame?
Natalia na mwnzio lara 1 kama hamna vigezo hivyo kaeni left hand.
 

Money money money money, money (x6)
Some people got to have it
Some people really need it
Listen to me y'all, do things, do things, do bad things with it
You wanna do things, do things, do things, good things with it
Talk about cash money, money
Talk about cash money- dollar bills, yall

For the love of money
People will steal from their mother
For the love of money
People will rob their own brother
For the love of money
People can't even walk the street
Because they never know who in the world they're gonna beat
For that lean, mean, mean green
Almighty dollar, money

For the love of money
People will lie, Lord, they will cheat
For the love of money
People don't care who they hurt or beat
For the love of money
A woman will sell her precious body
For a small piece of paper it carries a lot of weight
Call it lean, mean, mean green

Almighty dollar

I know money is the root of all evil
Do funny things to some people
Give me a nickel, brother can you spare a dime
Money can drive some people out of their minds

Got to have it, I really need it
How many things have I heard you say
Some people really need it
How many things have I heard you say
Got to have it, I really need it
How many things have I heard you say
Lay down, lay down, a woman will lay down
For the love of money
All for the love of money
Don't let, don't let, don't let money rule you
For the love of money
Money can change people sometimes
Don't let, don't let, don't let money fool you
Money can fool people sometimes
People! Don't let money, don't let money change you,
it will keep on changing, changing up your mind.

 
Last edited by a moderator:
Jinsi unavyojua mambo mengi ndio unakosa amani ya kuishi ,poleni kwa kujuzwa mambo mengi na lara one:a s 12:
 
Manungaembe at work.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

Heshima hela bwana, shkamoo makelele tu!! hata kwenye familia mwenye hela anajikuta akikubalika hata pale anapofanya makosa. Naumia sana kuishi katika mtizamo huu lakini ni jamii yangu ndio imenifanya nikubali kwamba MONEY iwe kwenye urafiki, uchumba, ndoa, familia, na penginepo ndio kiunganishi cha ukweli na cha uhakika. Mwanzoni sikuwa nawaza hivyo lakini imenibidi nibadilike kwani haiwezekani chombo kinanipeleka magharibi alafu mimi nikajikuta naelekea kusini ....siwezi kupingana nacho kamwe
 
Reactions: EMT
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…