Mwanaume mwenye mapenzi ya kweli,mrefu,mweusi na handsome asome hapa!

Kama hayo yalivyo maoni yako, (ninayaheshimu) na yeye aliyeleta mada kutafuta mchumba kwa njia aliyotumia ni maono yake.. (and no one is any wiser) kumbuka hapa hii sio black and white, ni kipenda roho hakuna wrong or right answers, kama wewe unaona njia aliyotumia haifai (fair to you, ulitumia yako ukapata) na yeye anatumia yake atapata.., kumbuka hapa sio jukwaa la ushauri wa mapenzi ni love connect (anatafuta connection) sio ushauri wa wapi alikosea kwenye maisha
kaka yangu SUN WU,nakushukuru sana ka kunisaidia kumwelimisha kaka Foundation na kwa kuonyesha jinsi alivyokosea kwa ushauri wake wa chuki mpaka sasa na wingi wa watu waliotoa comement ni yeye peke yake aliyetoa Negative jambo ambalo limemshusha kiwango kama alikuwa na kiwango cha asilimia 60 kashuka mpaka 10,it shows how he hates me without any proper reaon,
Nimesema ivyo kwa nini,kwnza kaanz kuniponda sana eti Umri wako,shepu ya nini kuitaja mara hapa si pakutafutia wachumba,jamani ivi walioweka love connect kumbe ni Wajinga?na je hajui kama kwenye mitandao kama hii pia ni kama kujenga urafiki wa kawaida hata mahusiano?je hajui kama kwa mfano tukaamua wanaJF tukiamua kuanzisha mfuko w kusaidiana inawezekana kabisa?maana yake ni kwamba ukikutana na mtu hapa ni sawasawa kama ngekutana nae popote pale,kwani leo ukisafiri kwenda ARUSHA AU POPOTE na ukakutana na mpenzi ina maana gani?si sawa tu na mkikutana kwenye Network?watu si walewale?
MIMI nilichoona ni kwamba yeye FOUNDATION hana Vigezo nilivyoweka na akapata uchungu mkubwa moyoni,ni jinsi
gani angetoa machungu moyoni ni kutoa Madongo ya matope kama alivyofanya.
sijakataa Challenge ila basi isiwe ya kuponda kama jambo nililofanya ni la ajabu wakati
anajua kabisa sijakosea na kuna mitandao mingi sana inato toa naasi ya kupata wapezi.mfano mzuri ni AFROINTRODUCTIONS! ebu afungue ndo ataona maajabu Duniani na watu wanapata wenza
na wanaishi vizuri na pizha za mifano zipo!
Ila kinachotokea ni wewe mwenyewe mhusika ni njia gani inayofaa ambayo pengine itafaa.mfao mzuri
ni mimi mbona nimeshapata,ila ninachotaka kufanya ni kuchuja na hakuna nitakayefanya nae ngono mpaka ndoa au mapa afike kwetu na kupima Ukimwi,na pia najitambua,na kuna mwingine pia kauliza kama je sina social Network ya kumpata mtu,jamani SOCIAL NETWORK MOJAWAPO NI HII ,KAMA hamuelewi muulize or just Go Back to school!
Mwisho Mungu akujalie kaka SUN WU,NI PM,MY BROTHER,you are real a wonderful.Sent from above!
 
SINA CHUKI NA WEWE HATA KIDOGO, KWANZA SIKUJUI NA KWA SABABU HIYO SIWEZI KUKUCHUKIA. HAYA NI MAONI YANGU TU. UWINGI WA WATU SI HOJA HATA KIDOGO, HATA YESU ALISURUBIWA NA WATU INGAWA WALITOKEA WATU HASA WAKINA MAMA KUWA KARIBU NAYE, na HAO WATU WALIOMUUA WALIKUWA WENGI SANA.BAADA YA KUFA NDIO WAKAJUA ALIKUWA MTU SPECIAL.

MIMI NILISHAOA TAYARI, KUSEMA SINA VIGEZO NDIO MAANA NIMEPONDA SIO UKWELI HATA KIDOGO. VIGEZO VYAKO NI VYA KAWAIDA SANA.

MIMI NAKUWA SAFARI NJEMA SANA ILA SALI SANA ILI UMJUE NANI NI NANI.KUJITOKEZA WENGI KUKU PM SIO HOJA SANA MAANA WENGINE HAPO WATAKUWA MARRIED, WANA WAPENZI/WACHUMBA NA LONELY WAPO LAKINI ................
 
Kupitia post zako ni kama nakuona vile. Binti mpole na mstaarabu. Ama kweli utakayempata ana bahati.
 
Deejay umeniuliza swali zuri sana,umeuliza nitawachujaje?kwa vigezo
nitaomba Cv zao,mwenye kuwazidi wenzake kwa vigezo vyangu ndo
atakuwa amejishindia mke mzuri mwenye mapenzi ya kweli na hatajuta
so bado nafasi zipo,ila angalizo ni lazima awe mkristo na pesa za kutosha
kwani na mimi si wa mchezo mchezo!

pesa za kutosha ni kama kiasi gani kwa mwezi??
 
H
Habari dada Judy!
kipato kitakachoweza angalau kufaa,yaani nilichomaanisha ni angalau kwa mwezi ajitahidi
kuwa na Incomeya 2m,mana na mimi mbali na kuwa mwalimu nina miradi mbalimbali
pia namiliki Ng'os ambayo inaniingizia kipato,so iwe ivyo,na nimetoa siri hii kwa kuwa
kati ya waliojitokeza wamefikia ivyo viwango,lazima niwe wazi ili mtu ajue na si kwa
ubaya ila ni ili mtu ajue tunakabiliana vipi na changamoto za maisha na mimi nina vigezo
vyangu ndo ivyo,nikaokuwa nimewakwaza wanisamehe bure,thanxs!
 
nimekupata best...sasa hapo kipi kinaanza kama kigezo kikuu kipato?muhonekano?tabia?malengo?

Ila nakushauri uwe makini sana kwenye critelia ya kipato,7bu anaweza kutokea m2 ana kipato kidogo lakini ana mapenzi ya kweli na ana lengo la ndoa,vilevile anaweza kutokea mtu ana uwezo mzuri ila mchezeaji tu.

Sababu nikiangalia kijana mwenye income ya 2mil kwa mwezi tena mwenye umri kati ya 32 na 40smthing napata mashaka kama bado ajaoa nini kinachomfanya asioe na umri wote uo.
 
Nashukuru sana dada yangu kwa ushauri wako na inaonyesha ni jinsi gani
unavyoweza kumfikilia na mtu mwingine.huo ndo tunaita utu wema,
kuhusu vigezo muhimu,nitaanza na moyo wangu unasema nini kwa mtu mhusika
unajua asikudanganye mtu kitu kinachoitwa upendo,ni cha ajabu na siri kubwa
ila mimi najua na imewai kunitokea,nikiwa na maana gani mtu unayempenda
kuna ishara za ajabu zinazojitokeza kwa kuongea nae kwenye simu na hata kuongea
nae utahisi moyo unashtuka au kupata hisia za ajabu yaani tofauti na ambaye
hujampenda iyo moja,
pili,ni kwamba kuhusu masuala ya kipato,wala yasikupe tabu ni kawaida na iyo sio kigezo
changu cha kwanza,ndo maana hata kwenye maelekezo ya awali sikuyaweka kama kigezo
muhimu ila ni lazima atakayetaka kuwa nami angalau ajue ningependa awe na kipato gani.
kwani mimi nipo juu kidogo kwa icho nilichokitaja au tukalingana inategemea ila ni
ipo hapo hapo,ndo mana nikasema ivyo.na mkweli nitamjua tu kwa kuwa mtu mwongo
utakuta anatanguliza mambo ya ngono,au utakuta anaonyesha ishara za kubabaika,
nitamgundua,so no sex first,na mkweli atapatikana,ila rafiki yangu nakuhakikishi
vigezo vingine nilivyotoa ni vya ziada tu,cha kwanza ni upenda,nikimpenda hata
kama hana kiasi hicho ana kidogo itakuwa sawa kwani naamini kwa pamoja
tutaongeza kipato,japo si vibaya akiwa na pesa,japo kwangu si cha kwanza kabisa.
 
Halafu da Judy,umezungumzia kuhusu kwamba mwanaume mwenye kipato cha
kuanzia 2m anakuwa tayari ameoa si kweli,tena hao ndo wengi hawajaoa.nimeshafanya
research,kwa kuangalia mienendo kwenye jamii na hata mifano halisi kwa jamii
inayotuzunguka na si kwamba wenye kipato kidogo pekee ndo wameoa au kutokuoa
but kwa wanaume wanategemeana,yaani hakuna PROPORTIONAL unayoweza kuDertermine
nani wa kiwango kipi ana wai kuoa,tofauti na sisi wanawake,
ila cha muhimu ni kuwa makini na mtu mwenye malengo,na hata kichwa cha habari
kinaeleza wazi mtu wa namna gani anitafute,so sijaficha kitu.tayari wapo nawafanyia kazi
kwa kuzingatia kanuni ila No SEX! TILL CHURCH,najua utashangaa ndo ivyo,sababu nikisema
tukapime tu ndo mahusiano ya kimapenzi yaanze ndo yale ya kufikisha miaka 40
nipo serious mtu akishindwa basi atakuwa amefeli mtihani,masharti na igezo kuzingatiwa!
na ni miezi 6 kuanzia sasa ndo ndoa!so asijali sana,nipo kamili na najiamini.
 
habari kaka,natumai mwenye sifa tajwa hapo juu ndo unayesoma hapa'
mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 30,nipo serious na natafuta
mwanaume mwenye sifa hizo kwa kuwa mwenyewe nina sifa za mwanamke mrembo
shepu namba 8.yaani juu mwembaba chini Mungu nampa sifa zake,kwani kanijalia kusema
ukweli na ni original kabisa,rangi yangu ni maji ya kunde with Excelent Health!
Elimu ya chuo,na ni mwalimu wa Secondary hapa Dar na najitegemea na naendelea na masomo.
Swali,je kwa nini nimeamua kuchagua njia hii ya JF kumtafua mpenzi wa kweli?
ni kwa kuwa nimeona wengi wanaotumia FORUM HII wana upeo mzuri na waelewa
na si wahuni,na hawatachukulia suala hii kama joke ndo mana sijaenda kule kwenye
chit-chat so you have to be serious here! kama sio wewe mlengwa naomba upite tu nitakushukuru.
Jambo jingine ninalopenda kuweka wazi ni kwamba kabla ya kuchukua uamuzi huu mgumu
nilikuwa na mpenzi ambaye awali nilijidanganya kama nimepata kumbe sivyo,kwa kuwa hakuthamini
mapenzi yangu ya dhati kwa kunichukulia kiutani huku miaka ikiwa inapita pia nikatambua kwamba
hatuendani kwa mambo mengi,mfano ni mlevi wa kupindukia,hapendi kujituma nikiwa na maana
ya maendeleo hata ya kupiga hatua moja mbele ki- maisha,hakuwa anaonyesha Real love ya
kusema mimi naweza kujivunia hata kwa marafiki kama nina mpenzi muda mwingi nikawa lonely
yeye akiwa Busy na ulevi uliokithili.Ivyo tukielewana ukinipa sifa zako tutaonana live!
So if you are lonely out there you are welcome and just be realistic and affectionate!

Mimi pia ninatafuta mke wa kuowa awe na sifa kama zako hivyo nipo tayari namba zangu ni 0764588983
 
tofauti yako na wanojiuza Jolly club ni wao wanafanya usiku wewe mchana. kama kweli u mzuri mbona hujapata bwana mpaka uweke bango?
 
You seems to be serious na naamin jf ni the right place kwa tangazo lako. Ila napata shida jinsi unavyosisitiza about money. How if huyo mwanaume atapoteza kazi mkiwa pamoja au mambo kwenda mrama? Utatafuta mwenye hela au? Don't be too materialistic dadaa!
Wishing you the best!

Halafu da Judy,umezungumzia kuhusu kwamba mwanaume mwenye kipato cha
kuanzia 2m anakuwa tayari ameoa si kweli,tena hao ndo wengi hawajaoa.nimeshafanya
research,kwa kuangalia mienendo kwenye jamii na hata mifano halisi kwa jamii
inayotuzunguka na si kwamba wenye kipato kidogo pekee ndo wameoa au kutokuoa
but kwa wanaume wanategemeana,yaani hakuna PROPORTIONAL unayoweza kuDertermine
nani wa kiwango kipi ana wai kuoa,tofauti na sisi wanawake,
ila cha muhimu ni kuwa makini na mtu mwenye malengo,na hata kichwa cha habari
kinaeleza wazi mtu wa namna gani anitafute,so sijaficha kitu.tayari wapo nawafanyia kazi
kwa kuzingatia kanuni ila No SEX! TILL CHURCH,najua utashangaa ndo ivyo,sababu nikisema
tukapime tu ndo mahusiano ya kimapenzi yaanze ndo yale ya kufikisha miaka 40
nipo serious mtu akishindwa basi atakuwa amefeli mtihani,masharti na igezo kuzingatiwa!
na ni miezi 6 kuanzia sasa ndo ndoa!so asijali sana,nipo kamili na najiamini.
 
SINA CHUKI NA WEWE HATA KIDOGO, KWANZA SIKUJUI NA KWA SABABU HIYO SIWEZI KUKUCHUKIA. HAYA NI MAONI YANGU TU. UWINGI WA WATU SI HOJA HATA KIDOGO, HATA YESU ALISURUBIWA NA WATU INGAWA WALITOKEA WATU HASA WAKINA MAMA KUWA KARIBU NAYE, na HAO WATU WALIOMUUA WALIKUWA WENGI SANA.BAADA YA KUFA NDIO WAKAJUA ALIKUWA MTU SPECIAL.

MIMI NILISHAOA TAYARI, KUSEMA SINA VIGEZO NDIO MAANA NIMEPONDA SIO UKWELI HATA KIDOGO. VIGEZO VYAKO NI VYA KAWAIDA SANA.

MIMI NAKUWA SAFARI NJEMA SANA ILA SALI SANA ILI UMJUE NANI NI NANI.KUJITOKEZA WENGI KUKU PM SIO HOJA SANA MAANA WENGINE HAPO WATAKUWA MARRIED, WANA WAPENZI/WACHUMBA NA LONELY WAPO LAKINI ................
Hellow once again Fou...aksante kwa ushauri wako na naufanyia kazi.
ila na wewe napenda nikupe japo ushauri mdogo.siku ingine unaposhauri
toa ile negative attitude,badala yake weka positive hata kama unakosoa
nasema ivyo kwa kuwa hata mimi ni mwalimu tena kwa miaka 6 sasa
nimekutana na changamoto nyingi sana maishani,pamoja na zile za
wanafunzi,imagine,mwanafunzi amefeli sana mtihani wake,mimi kama
mwalimu natoa comment kwenye report form yake eti huyu mwanafunzi
hafai kuendelea na masomo yake tena kwani amefeli sana,je najenga taswira
gani,bila shaka ni ya chuki na si ya kujenga.So hope you will change!
Have a good day!
 
tofauti yako na wanojiuza Jolly club ni wao wanafanya usiku wewe mchana. kama kweli u mzuri mbona hujapata bwana mpaka uweke bango?
Naona uliyecomment hapo ni dada,okay ni maoni yako
wala kamwe siwezi kuzuia,ila kwa taarifa yako fupi umekosea kuniwazia
ivyo,pengine hujasoma between lines.na dakika hii ninayokujibu
tayari nimempata wa moyoni,kama wewe bado wala usijali inawezekana
ni kujiamini tu na mambo yako na utafanikiwa,
After all,comment kama yako kwenye mambo kama haya haziwezi kukosekana
so worry not my Dear,mimi ni mzuri kweli na si masihara,ni pm nikutumie picha
kwenye Email yako.ili next time unapocomment hapa atleast uwe na vision tofauti
With love!
 
You seems to be serious na naamin jf ni the right place kwa tangazo lako. Ila napata shida jinsi unavyosisitiza about money. How if huyo mwanaume atapoteza kazi mkiwa pamoja au mambo kwenda mrama? Utatafuta mwenye hela au? Don't be too materialistic dadaa!
Wishing you the best!

Thanxs mkuu,usinielewe vibaya ndugu yangu,kama ulisoma vizuri tangazo langu
la mwanzo kabisa sikuweka pesa kabisa why?ni kwa kuwa kwangu hayana nafasi
naweza nikaishi na huyo mwanaume hata nikiwa naprovide mimi everything
what I need from him is Real love which I have been missing since my childhood.
Why nikaongeza kigezo cha pesa,wengi walioanza kuniPM,walikuwa wanajinasibu
ivyo na wengine kuniliza mimi,asikudanganye mtu,hapa Dar kweli mtu unaweza
akawa na kazi flani lakini bado akawa na miradi yake who knows.ndo mana
na mimi kama sifa ya ziada awe na pesa,lakini si lazima saaaaaana! ingekuwa
ivyo hata kichwa cha habari ningeweza kabisa kuandika mwanaume mwenye
pesa aje kwangu,ila niliongezea kumfanya ajitume,mimi najituma sana na ndo
msingi wa maisha bora,na hakuna mtu aliyepangiwa Duniani kuwa na pesa nyingi
na mwingine chache,ninin hutokea,is that we call a Burning Desire of success!
as we say is the achievement of something that someone have been trying to do!
If you want to be rich you can,if you want A Rich husband you can also have that
rich husband,why not?but above all the greatest of happiness and existence
is LOVE.So love first and the rest will follow!
 
Back
Top Bottom