Mwanaume mwenye mapenzi ya kweli,mrefu,mweusi na handsome asome hapa!

muhuni ni muhuni haijalishi fani,kuna maaskari wameoana na wanaheshimu ndoa zao zimejaa amani na furaha tele.................tafuta anaekupemda na kukuheshimu...fani si hoja...
Kwa hiĺi sishawishiki japo najua kati ya 10 mmoja au wawili huwa wastaarabu.
Fani na mdoa siwez kuvitenganisha nataman nikufafanulie na mifano kibao but nasinzia.
Mwanajeshi wa kike awe sawa sawa na mwalimu?
manesi weng wanadanganya wanaenda kazn night kumbe wanaenda casino na maeneo ya uchangu na police da same.
kama wewe unajiheshm thanks to God ndo ile 2 out of 10.

THIS IS SERIOUS TO ME.
 
umetumia lugha yenye staha sana,unaonesha kujitambua na mwenye muono thabiti,moyo safi na mawazo yakinifu.jambo jema pia muweke mwenyezi mungu mbele kwakuwa yeye ndiye hutoa kwa muafaka,daima hachelewi wala hawahi kwa maana ni muaminifu.kama jf aliona ni sehem yako ya kupata mwenza basi utampata lakini kama hutopata usivunjike moyo,amini na tambua kwamba muda ungalipo.binafsi nakuombea kheri umpate sawa sawa na mahitaji yako ya moyo na udumu ktk upendo na ukweli.kila jema na mungu akutangulie!!
 
Umri miaka 33 mpaka 45,tafadhali naomba mtu awe mkristo,elimu ya kutosha na
pesa ya kwendeshea maisha,na awe serious,yaani kusaidiana maisha,i hope you
get me!
 
Deejay umeniuliza swali zuri sana,umeuliza nitawachujaje?kwa vigezo
nitaomba Cv zao,mwenye kuwazidi wenzake kwa vigezo vyangu ndo
atakuwa amejishindia mke mzuri mwenye mapenzi ya kweli na hatajuta
so bado nafasi zipo,ila angalizo ni lazima awe mkristo na pesa za kutosha
kwani na mimi si wa mchezo mchezo!
 
nashukuru kwa comment yako nzuri wewe kaka
uliyeniombea kwa Mungu na kuvutiwa na nilivyoandika.tuko pamoja
Ila napenda kusisistiza kwamba sitanii na nipo serious,wanaoniandikia au kuniPM
wanaongezeka ila nitawachuja kws CV zao,na mmoja atakayewin atatangazwa
hadharani na pia kuonyesha kwamba nipo serious nitamshauri bada ya kusomana
tabia vizuri na kuridhika tutatangaza ndoa na Kuwakaribisha wanaJFwatakaopenda
kuhudhulia mana sisi JF itakuwa ni sehemu iliyotukutanisha ivyo kuienzi itakuwa
jambo la lazima.AKSANTE,BILA KUSAHAU AWE MKRISTO MIAKA ANGALAU KAUAZIA
33 TO 45.THANXS!
 
Deejay umeniuliza swali zuri sana,umeuliza nitawachujaje?kwa vigezo
nitaomba Cv zao,mwenye kuwazidi wenzake kwa vigezo vyangu ndo
atakuwa amejishindia mke mzuri mwenye mapenzi ya kweli na hatajuta
so bado nafasi zipo,ila angalizo ni lazima awe mkristo na pesa za kutosha
kwani na mimi si wa mchezo mchezo!

Yashakuwa haya tena?
Mimi nina vigezo kama vinne hivi kati ya ulivyotaja, kasoro umri, pia hiki kigezo cha bonus cha 'mijihela' pia sina, and I am the least serious man in the world,
do I fit you?
 
Nakupenda kwa busara zako. wengi huendekeza utani. Moyo wangu pia mpweke 2wasiliane kisha 2elewane.
 
Ahsante kwa hekima busara na imani ya kupata mwenza. Nami moyo wasononeka kuachwa. upweke waninyima usingizi. Na thread yako yanipa faraja tuwasiliane ili tufae kuwa ukurasa mmoja.
 
kaka Bak,hii Shalamar ndo nini?ok naomba unielekeze mtu akisema ni Pm ndo nini
ni private sms or what na unafunguaje ili kuzisoma?mana mi bado mgeni humu na ukiielimisha nitashukuru sana.

Ukifungua jf.Utaona neno PM .Click hapo litafunguka.Fungua hapo na usome
 
You must be kidding,then nilisahau Dini jamani mimi ni mkristo na napenda mkristo
sitaki uke wenza mana nina wivu sana,na Dini yangu hairuhusu ivyo,halafu nani kakwambia
kama sisi wanawake tupo wengi?hata kama idadi ipo ivyo,lakini Mungu kampangia kila mtu na wake na mimi yupo tu najua atakuja;Aksante,
Mambo? Kweli uko serious kwa hl
 
Nasikitika hongera sana, kwa kuipa concern kubwa jf. Pia nimefurahishwa sana kwa wewe kuwa mwalimu kwani na mimi ni mwalimu na niliolewa kwasababu wakati huo wanaue weni waliamin kuwa mwalimu can make a good wife. sijisifu lakin mume wangu hajawah kujuta japo kukosea kupo katika maisha.

ushauri wangu kwa kijana wa jf. jamani just be serious. Muwe si mnapm kumbe hammaanishi. Dada huyu kwa maelezo yake ana nia ya dhati, kamwe msimuuize zaid wakaka wazuri.

ushauri wangu kwako dada, usilemewe sana na mwenye kipato au kazi nzuri tu, au wenye cv nzuri. manake kuna mtu akiandika cv yake unaweza ukaangua kwa jins ilivyo nzuri ila in real hayupo hivyo.kwa mm nafikiri best option itakayokufanya umchague mzuri ni kumuweka mungu mbele, kisha jitahidi kila mmoja muonane na usifanye haraka kutoa solution. kuna jambo moja kuonana na mtu live mkikaa masaa mawili labda mnakunywa soda mahali itasaidia kuwajua kenge ni yupi ndani ya safara wa mamba. kwa hiyoo kuna utakao wadisqualify kwa kuonana kwa mara ya kwanza.

wengine jinsi atakavyokuwa anaongea kwenye simu, utamjua kama ana moyo wa kujali au la, ila kumbuka hakuna kanuni ya kumjua huyu ana upendo wa dhati au la kitakacho kufanya utambue ni jinsi utakavyoendelea kuwa naye karibu, na kwakua siyo kitu cha mara moja basi watatakiwa watu wachahce sana waingie hii stage, ili uwachuje na kubaki mmoja.

ila pia sasa pana kigezo hapa kuwa wanaume hawatapenda uwe uko karibu naye halafu unawasiliana na mtu mwingine, wambie kabisa kwa kuwa njia niliyotumia ilileta watu wengi basi miongoni mwenu bado nawachuja, sasa usikasirike, na kwa kuwa nao karibu please usijaribu kufanya ngono kamwe mpaka umempata wa kwelli ambaye utaingia naye church. Epuka kabisa kwa akipindi hiki kukaa nao sehem za faragha ambazo zitaamsha hisia za ngono. kaa nao kwenye sehem za watu, na usimpeleke mtu nyumbani kwako kwani lazima itaamsha hisia za ngono kabla hujachuja nakusisitiza ukipenda kutoka nao usiku au kukaa nao faraghani utajikuta umezini na watu wengi sana huu uwe msimamo wako wa dhati kabisa na mwenye nia au aliye wakwako atabaki tu.
 
Hello "nasikitikaa", I wish I couldn't have someone in my heart already to contact you on your tremendous heartfelt feelings to have someone special in your life coz it was my dream really having someone with those characters if not qualifications like yours for about one and a half year ago. Oooops! But you know what? worry not & don't dare casting away you confidence and loosing your hope coz our Almighty God is God of Hope. "nasikitikaa", really I can't wish you good luck but I do wish you well!
 
Nishawangonga sana hawa mademu wanaojitangaza mume hapatikani hivyo omba mungu atakupa zaidi utakutana na wataalamu kama cc tunakugonga siku 2 then tunakula kona
 
Nadhani usihangaike tena, ni mm umtafutaye kama hujaamini ni PM na sina cha ziada kama kweli uko serious nitaku PM
 
Back
Top Bottom