Mwanaume mwenye mapenzi ya kweli,mrefu,mweusi na handsome asome hapa!

Hellow once again Fou...aksante kwa ushauri wako na naufanyia kazi.
ila na wewe napenda nikupe japo ushauri mdogo.siku ingine unaposhauri
toa ile negative attitude,badala yake weka positive hata kama unakosoa
nasema ivyo kwa kuwa hata mimi ni mwalimu tena kwa miaka 6 sasa
nimekutana na changamoto nyingi sana maishani,pamoja na zile za
wanafunzi,imagine,mwanafunzi amefeli sana mtihani wake,mimi kama
mwalimu natoa comment kwenye report form yake eti huyu mwanafunzi
hafai kuendelea na masomo yake tena kwani amefeli sana,je najenga taswira
gani,bila shaka ni ya chuki na si ya kujenga.So hope you will change!
Have a good day!

Hapa JF dada. Huwezi pata postive response tu. Ila nakusifu weweni mwalimu. Ni mvumiilivu , kwa mtu mwingine angejibu ovyo ovyo tu.

Hebu tuambie kwa niaba ya wengine. Umesema elimu ya chuo, diploma au degree?Kabila gani? Unafanya kazi manispaa gani?
ASANDE SANA
 
Ni ipi tofauti yako na wale makahaba wanaojiuza pale buguruni? acha maneno mengi weka picha yako hapa tukuone umechakachuliwa kiasi gani. kuna methali 1 yasema ivi KIZURI CHAJITEMBEZA NA KIBAYA CHAJITANGAZA.... chagua 1.
 
Aksante kaka,nimekusoma,ila ukweli mimi sijachakachuliwa kabisa,na hata kama
ni kuchakachuliwa basi mimi siwezi ingia kwenye list iyo,
sasa nikwambie,sasa naomba nikwambie tu kwamba Tayari kwa kupitia JF.
nimeweza kumpata yule niliyekuwa namtaka,yaani kama kichwa cha habari kinavyosema kwa jina la James!
na muda huu ninavyokwambia mapenzi anayonionyesha(si ya kitandani)yaani yale
mapenzi ya mama na mtoto wake wa kwanza,nimefunga rasmi hii topiki mana itakuwa
Valin no more or Invalid,na pia kukuhakikishia sijachakachuliwa Dec kwenye harusi
nitafanya juu chini ufike,ni kuamua tu.na kuhusu kupata mpenzi JF inawezekana ni
ule userious wa wahusika wenyewe na mnataka nii kwenye maisha,after all,
MUNGU hupanga yote,ndo mana hata JF wakaweka jukwaa la love connect walifa
nyanyia utafiti kwanza,so thankyou very much,
Nitakuwa napitia hapa kujibu hoja mbalimbali ila kama ni mpenzi tayari,tena ni ndani
ya wiki so hata yeye ana uhakika sijachakachuliwa,mana ichukue muda mrefu ili
iweje (ndo yale ya mtu kutaka kwanza kukuonja kabla)ila namshukuru sana Engineer
James kwa moyo wake wa upendo na kufuata masharti yangu,
Be blessed!
 
Sijawahi muona James ambaye ni handsome,ebu weka picha tuprove!!
James wengi ni walevi kupindukia.
 
Aksante kaka,nimekusoma,ila ukweli mimi sijachakachuliwa kabisa,na hata kama
ni kuchakachuliwa basi mimi siwezi ingia kwenye list iyo,
sasa nikwambie,sasa naomba nikwambie tu kwamba Tayari kwa kupitia JF.
nimeweza kumpata yule niliyekuwa namtaka
,yaani kama kichwa cha habari kinavyosema kwa jina la James!
na muda huu ninavyokwambia mapenzi anayonionyesha(si ya kitandani)yaani yale
mapenzi ya mama na mtoto wake wa kwanza,nimefunga rasmi hii topiki mana itakuwa
Valin no more or Invalid,na pia kukuhakikishia sijachakachuliwa Dec kwenye harusi
nitafanya juu chini ufike,ni kuamua tu.na kuhusu kupata mpenzi JF inawezekana ni
ule userious wa wahusika wenyewe na mnataka nii kwenye maisha,after all,
MUNGU hupanga yote,ndo mana hata JF wakaweka jukwaa la love connect walifa
nyanyia utafiti kwanza,so thankyou very much,
Nitakuwa napitia hapa kujibu hoja mbalimbali ila kama ni mpenzi tayari,tena ni ndani
ya wiki so hata yeye ana uhakika sijachakachuliwa,mana ichukue muda mrefu ili
iweje (ndo yale ya mtu kutaka kwanza kukuonja kabla)ila namshukuru sana Engineer
James kwa moyo wake wa upendo na kufuata masharti yangu,
Be blessed!
Dah! kumbe wewe ni maharage ya mbeya moto mara moja siku mbili tu umeshapata kitu mbox.
 
aksante kaka,nimekusoma,ila ukweli mimi sijachakachuliwa kabisa,na hata kama
ni kuchakachuliwa basi mimi siwezi ingia kwenye list iyo,
sasa nikwambie,sasa naomba nikwambie tu kwamba tayari kwa kupitia jf.
Nimeweza kumpata yule niliyekuwa namtaka,yaani kama kichwa cha habari kinavyosema kwa jina la james!
Na muda huu ninavyokwambia mapenzi anayonionyesha(si ya kitandani)yaani yale
mapenzi ya mama na mtoto wake wa kwanza,nimefunga rasmi hii topiki mana itakuwa
valin no more or invalid,na pia kukuhakikishia sijachakachuliwa dec kwenye harusi
nitafanya juu chini ufike,ni kuamua tu.na kuhusu kupata mpenzi jf inawezekana ni
ule userious wa wahusika wenyewe na mnataka nii kwenye maisha,after all,
mungu hupanga yote,ndo mana hata jf wakaweka jukwaa la love connect walifa
nyanyia utafiti kwanza,so thankyou very much,
nitakuwa napitia hapa kujibu hoja mbalimbali ila kama ni mpenzi tayari,tena ni ndani
ya wiki so hata yeye ana uhakika sijachakachuliwa,mana ichukue muda mrefu ili
iweje (ndo yale ya mtu kutaka kwanza kukuonja kabla)ila namshukuru sana engineer
james kwa moyo wake wa upendo na kufuata masharti yangu,
be blessed!

atakuwa msukuma tu huyu
 
mke siyo umbo no 8 na miguu! toa wasifu wako kikamilifu hasa zile tabia hasi!
:A S kiss: am waiting!
 
kaka mbona sijakuelewa?UBOOK kwa jili ya mtu kivipi?au
ndo utani wenyewe ndo umeanza?mimi nipo serious na mambo
yakiwa mazuri wana Jf ndo mtahudhulia harusi Mungu akitangulizwa
mbele!

unaanza kufikiria harusi hata mwanaume hujapata, hiyo ni act of desperation na ndo maana mnadanganyagwa kiurahisi
 
Vipi sehem husika ikoje isje ikawa Jangwani ukasababishe tutafute mabwe pande ya kujificha!
 
habari kaka,natumai mwenye sifa tajwa hapo juu ndo unayesoma hapa'
mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 30,nipo serious na natafuta
mwanaume mwenye sifa hizo kwa kuwa mwenyewe nina sifa za mwanamke mrembo
shepu namba 8.yaani juu mwembaba chini Mungu nampa sifa zake,kwani kanijalia kusema
ukweli na ni original kabisa,rangi yangu ni maji ya kunde with Excelent Health!
Elimu ya chuo,na ni mwalimu wa Secondary hapa Dar na najitegemea na naendelea na masomo.
Swali,je kwa nini nimeamua kuchagua njia hii ya JF kumtafua mpenzi wa kweli?
ni kwa kuwa nimeona wengi wanaotumia FORUM HII wana upeo mzuri na waelewa
na si wahuni,na hawatachukulia suala hii kama joke ndo mana sijaenda kule kwenye
chit-chat so you have to be serious here! kama sio wewe mlengwa naomba upite tu nitakushukuru.
Jambo jingine ninalopenda kuweka wazi ni kwamba kabla ya kuchukua uamuzi huu mgumu
nilikuwa na mpenzi ambaye awali nilijidanganya kama nimepata kumbe sivyo,kwa kuwa hakuthamini
mapenzi yangu ya dhati kwa kunichukulia kiutani huku miaka ikiwa inapita pia nikatambua kwamba
hatuendani kwa mambo mengi,mfano ni mlevi wa kupindukia,hapendi kujituma nikiwa na maana
ya maendeleo hata ya kupiga hatua moja mbele ki- maisha,hakuwa anaonyesha Real love ya
kusema mimi naweza kujivunia hata kwa marafiki kama nina mpenzi muda mwingi nikawa lonely
yeye akiwa Busy na ulevi uliokithili.Ivyo tukielewana ukinipa sifa zako tutaonana live!
So if you are lonely out there you are welcome and just be realistic and affectionate!

Sina uakika kama njia hii inawork! uzoefu nilionao utapata walaji tu!

Kwa nini usisema unaitaji mtu wakutoka nae alfu uache nature ichukue mkondo wake, bila hata kuweka mashariti kibao! unajua haya mashariti yanfanya watu wawe na big expectation kutoka kwako pia.
 
habari kaka,natumai mwenye sifa tajwa hapo juu ndo unayesoma hapa'
mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 30,nipo serious na natafuta
mwanaume mwenye sifa hizo kwa kuwa mwenyewe nina sifa za mwanamke mrembo
shepu namba 8.yaani juu mwembaba chini Mungu nampa sifa zake,kwani kanijalia kusema
ukweli na ni original kabisa,rangi yangu ni maji ya kunde with Excelent Health!
Elimu ya chuo,na ni mwalimu wa Secondary hapa Dar na najitegemea na naendelea na masomo.
Swali,je kwa nini nimeamua kuchagua njia hii ya JF kumtafua mpenzi wa kweli?
ni kwa kuwa nimeona wengi wanaotumia FORUM HII wana upeo mzuri na waelewa
na si wahuni,na hawatachukulia suala hii kama joke ndo mana sijaenda kule kwenye
chit-chat so you have to be serious here! kama sio wewe mlengwa naomba upite tu nitakushukuru.
Jambo jingine ninalopenda kuweka wazi ni kwamba kabla ya kuchukua uamuzi huu mgumu
nilikuwa na mpenzi ambaye awali nilijidanganya kama nimepata kumbe sivyo,kwa kuwa hakuthamini
mapenzi yangu ya dhati kwa kunichukulia kiutani huku miaka ikiwa inapita pia nikatambua kwamba
hatuendani kwa mambo mengi,mfano ni mlevi wa kupindukia,hapendi kujituma nikiwa na maana
ya maendeleo hata ya kupiga hatua moja mbele ki- maisha,hakuwa anaonyesha Real love ya
kusema mimi naweza kujivunia hata kwa marafiki kama nina mpenzi muda mwingi nikawa lonely
yeye akiwa Busy na ulevi uliokithili.Ivyo tukielewana ukinipa sifa zako tutaonana live!
So if you are lonely out there you are welcome and just be realistic and affectionate!

nimekusoma dada, tatizo langu ni namna ya kuku pm, naamini nina sifa nyingi uzitakazo!
 
Ok kwanza pole kwa mitihani iliokufika.mm kweli nataka nanapenda nanimependezwa kwa wewe kusema ukweli.tatizo kubwa kwangu mm ni mkenya,istoshe pia niko nje yaani niko kingdom of saudi arabia.nasikua sipendi nimependa.umri 36 kama kweli uko serious naikiwa sijachelewa twaweza tukaongea nakuelewana hamna neno
 
Jpili nimetawazwa kuwa HB wa mtaa bada ya kuwafunika mashalobaro kadhaa kwa pamba na mvuto. Ila kuhusu mapenzi ya kweli hapo nimefeli, mademu wakali wanjigonga vp nshnde mitego. Hebu niendelee na kuangali jukwa la tech, kila la heri . . .
 
dada yangu mpendwa; yawezekana kweli uko very serious in issue hii lakini how can you know somebody's behavior through e-communication? Harafu ukadai kua muingie kwenye ndoa? Dada utakuja jutia hiyo ndoa, itakua ndoa ya machozi daily. kwanza, huyo mwanaume atakuambia wewe mhuni na ndo maana ulikupata kwenye JF. so, be careful.

hebu kaa utulie na ujiheshimu mme mweme atakukuta tu. kwanza una kazi yako unahangaikia nini. mwalimu utaumia oohhhhhhhhhhh.....
 
Back
Top Bottom