Mwanaume mwenye hekima na heshima anahitajika

Mwanaume mwenye hekima na heshima anahitajika

Mwambie kuna madhabahu kwao ya kutoelewa ndio linalomsumbua.Afanye toba soma Zab 51,pili ampokee Yesu na amwambie juu tatizo lake thru Maombi.
 
Kila nikiuona huu uzi nadhani huenda nami,Mungu kanionyesha humu.Dada kama kuna nafasi naomba nafasi huenda tukaendana.
 
mahojiano zaidi then ndo utoe contact??? hauoni umri umesogea huo then unataka ulete drama kama upo 20 poleni wadada nadhani huo umri cha kukushauri anza kwenda church na kwaya uimbe

Kuna dada kaolewa juzikati ana kati ya miaka 42-45, acha kumkatisha tamaa
 
Nieleweke si mimi ni mtu wangu wa karibu anahitaji.Ni mwanamke btn 30 to 35 mrefu kias,i mweupe,mchaga,elimu diploma,mkristo mcheshi, mkarimu ana hofu ya mungu ,naishi Arusha mengine mtazungumza.

Anatafuta mwanaume mkarimu mwenye upendo wa kweli mpenda maendeleo hofu ya Mungu.mkristo
Uwe na kazi tafadhali.usiwe mkorofi ,anayejua thamani ya mwanamke kabila lolote kasoro Muarusha Mungu akipenda muanzishe Familia.

Atakaye pendezwa awasiliane nami Pm kwa mahojiano zaidi then nitakupa contact zake.
kiwatengu usinipige marungu ila nilishakwambia kuhusu huyu rafiki yangu.

Ni PM then ntakupa details zaidi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom