miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,109
Sio mimi mi nishatosheka dear ni best yangu wa karibu mno
Hapo sawa wifi
Sio mimi mi nishatosheka dear ni best yangu wa karibu mno
Yaeh! Picha tafadhal full juu mpk chini tusaminishe na ni vizuri hakuna kipengele cha Dini
picha tena??
niko salama dada.
Ar you serious
Napenda sana mtot wa kichaga mweupe afu me mwenyew mweupe cjui hao watot watkuaj