Mwanaume mwenye hekima na heshima anahitajika

Mwanaume mwenye hekima na heshima anahitajika

Samahani kuna kabila linaitwa muarusha? Lol mi nipo ila nimchilimiche kwanza. ��
 
Aiseeeeee!!Mkuu kama bado hajapata hitaji lake naomba anitafute maana vigezo na masharti vyote ninavyo mkuu
 
Pole sana, ungelikuwa Mkweli ningeli kufikiria kukusaidia.
Haiwezekani ukawa DALALI WAKE, come straight to the point nitakupigia pande.
 
Kwanini anataka kufa mapema namna hiyo...
Namshauri atafute mtu azae nae alee mtoto wake. Kwa wanawake umri huo ni lala salama sasa ya nini kuamsha stress za ndoa wakat kumekucha.
Ni ushauri tu lakini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom