Hamisa mobeto bado anaroga mkuu.Siku hizi hamlogi mnaomba ushauri?
Ushauri mtamu huuMchukulie hivyo, mchukulie ndio mapungufu yake hayo we akikublock hema, fanya mambo yako akifoka jitahidi usiyaweke rohoni, jaribu kupotezea japo vinakera usiache kusema nae sababu binadam hatujakamilika, mwisho wa siku ukiona moyo wako umechoka waweza kwenda zako
ni vihasira vidogo vidogo + kususa + kukuza jamboDah wadau na ujanja wangu wooote eti sijui gubu ni nini!..
Naombeni mnieleweshe
Gubu ni nini???? ..na mtu mwenye nalo anakuwaje???
Na mpaka mtu anakublock means anakupenda na hawezi jizuia, ubaya mmoja binadam tuna mapungufu mengi sana waweza ona huyu yuko na gubu ukaamua kuachana naye anaekuja hujui atakuja na kubwa gani na utawaacha wangapi, unavumilia tu kosa kubwa kuyaweka rohoni maudhi unayoyaona au kufanyiwa yan ukiwa mtu wa kupotezea tu mnaishi unakua uneweza kucontrol haliUshauri mtamu huu
Ajitizame kama yeye anampenda tu
Asahau na kupuuza maneno yake pindi akifoka
Uzuri wa wanaume aina hii mara nyingi huwa na mapenzi ya kweli
Kitu kidogo anafoka weeee anakupa block unatulia unambembeleza akitulia unamwambia alipokosea mnasonga hivyo hivyo
Jamaa anampenda na ana wivu sana amvumilie tu
Kweli Hakuna mkamilifu japokuwa kuna wenye mapungufu mengiNa mpaka mtu anakublock means anakupenda na hawezi jizuia, ubaya mmoja binadam tuna mapungufu mengi sana waweza ona huyu yuko na gubu ukaamua kuachana naye anaekuja hujui atakuja na kubwa gani na utawaacha wangapi, unavumilia tu kosa kubwa kuyaweka rohoni maudhi unayoyaona au kufanyiwa yan ukiwa mtu wa kupotezea tu mnaishi unakua uneweza kucontrol hali
Pengine alitarajia huyo mwanaume awe kama alivyo nasemea matendo kitu ambacho hakiwezekani, kwa kweli avumilie tuKweli Hakuna mkamilifu japokuwa kuna wenye mapungufu mengi
Lakini kama shida ni hizo alizonazo amzoee kama anampenda kweli mbona ni madogo tu sababu huyo mwanaume anampenda kwa dhati
yaani hata kunisalimia hujawahi siku utakayofanya hivyo nitasave date kwa kumbukumbuUnatutisha MO11. Nitaogopa hata kukusalimia
Mkuu we ndo una gubu originalAisee gubu lina umuhimu wake sometimes
Maana hawa wanawake wa kileo bila kua mjanja mjanja na kuwatikisia kiberiti watakula tu videnti vyaka na kukurambisha penzi
Ila kula anapewa mwengine bila chenga
Sasa gubu linakupa nafasi yakutofautisha mchele na chua
By mr.Gubu original
Mic u soooooooooo much....[emoji9] [emoji9] [emoji9] [emoji9]Wewe mwanamke weeee kuna motoooo shauri yako ,endelea kudanganya tu[emoji23][emoji23]
Nilikumisimo sijui naww ulinimisimo??? Vipi ule Mkakati mkubwaaaaaa wa maendeleo ya Taifa, umeishia wapi???
Ukipata muda ,unicheki kule kama hujali.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji38][emoji8][emoji8] nmepokea huo mmiso sema , unitumie kwa kule sasaMic u soooooooooo much....[emoji9] [emoji9] [emoji9] [emoji9]