Mwanaume mwenye gubu

Mwanaume mwenye gubu

Ushauri mtamu huu


Ajitizame kama yeye anampenda tu

Asahau na kupuuza maneno yake pindi akifoka

Uzuri wa wanaume aina hii mara nyingi huwa na mapenzi ya kweli

Kitu kidogo anafoka weeee anakupa block unatulia unambembeleza akitulia unamwambia alipokosea mnasonga hivyo hivyo

Jamaa anampenda na ana wivu sana amvumilie tu
Kwakweli ntamvumilia
 
Mdada ukijilizaliza kwake atakukomoa. Kuwa mbabe kiasi, penda kimya kimya!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom