gilldenu
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 2,909
- 3,026
Wakuu nawasalimu nyote ....niende kwenye mada
Ivi wanawake wenzangu mnawezaje kuishi na mwanaume mwenye gubu yaani kidogo tu kanuna ujakaa sawa kakublock kila kona ....kidogo tu asha foka nakujihami kwingii [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hatuishi pamoja bado
Na co mdogo ni mtu mzima tu umri umemuenda ila ana behave kama mvulana
Ivi mna wahandle vipi awa watu aiseee....