mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 47,125
- 58,847
Bila hivyo hamuendi nyie.
Mnapenda kufanyiwa ubabe.
Mkibembelezwa sana mnakuwa mnajisahau.
hauwezi nikuta.nacheka cheka na mpenzi wangu.kidogo tu namkoromea ananywea.basis mwenyewe anapendaaa.
Mnapenda kufanyiwa ubabe.
Mkibembelezwa sana mnakuwa mnajisahau.
hauwezi nikuta.nacheka cheka na mpenzi wangu.kidogo tu namkoromea ananywea.basis mwenyewe anapendaaa.