Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 175,945
- 193,992
Kweli kuoa kwenu NI mpaka mzeeke mambupu🏃
Money Penny kua mkweli wewe uliolewa kabla ya kuliwa... uliliwa kabla ya kuolewa...
Cc: mahondaw
Kweli kuoa kwenu NI mpaka mzeeke mambupu🏃
Usinisingizie wewe unaichafua id yangu mi kijana mpole na mtulivu sema kwenye maneno ya kuandika kama hivi ndio sio mtulivu😜
Hapo ndipo ulipoboronga hata huyo uliemtaja 👆👆 anaweza fufuka akaja kututetea 😂Mbona mnailalamikia Sana namba 5?!
Nyie mnataka kutoboa mabinti wa watu alafu nyie mitini muwaache walie??
Woi, MSHINDWE Kwa jina la Yesu
Duh! Sio poa, mimi siwezi kabisa
kwakuwa gharama hamna zaidi ya watu sita na padri mmoja. Tutawaoa tu kipindi hichi!
Hawezi kukohoa mbele yako bila barakoaHapa ndio wabongo wengi wanafeli hasa akina Dada ambao hamjaolewa
Ukinichukia Sawa ukiniita old school Sawa maana hapa Nina Miaka 63, nawasaidia Kupunguza malalamiko ya wanaume
Kihalali kabisa na hata ukiuliza walioolewa wenye ndoa za Amani watakwambia kuwa:
Mwanaume MUOAJI, anaetafuta MKE hawezi kukufanyia haya yafuatayo:
1. Kukupiga denda hadharani
2. Kukukumbatia hadharani
3. Kukushika ziwa au Chuchu hadharani
4. Kukushika wowowo hadharani
5.Kuzini na wewe kabla hajakuoa
6. Mahusiano yenu yatakuwa ya muda mfupi Sana, sio zaidi ya Miezi 3
7. Hatokuonyesha Mali zake au fahari ya vitu vya kuonekana kwako kabla hajakuoa
8. Hatokuita usiku usiku sijui mkatembee atahakikisha mitoko yenu ni mchana, penye watu wengi na mwisho kukaa nae itakuwa SAA 12 jioni
Sasa kama wewe bwana ulienae hafanyi haya, ujue unamsindikiza tu kipindi hiki cha Covid19 au unamsindikiza kumpata MKE wake Halali🙈
Mwenye sikio na asikie, nipo hapa namalizia maombi ya siku 3 ya kuombea Taifa letu dhidi ya CORONA 🙏
Mnakaribishwa wanaume kuchangia pia huenda kuna Mengi nimesahau
Hiyo No.5 siku hizi umpate Zuzu, nani anakubali kuuziwa mbuzi kwenye turubai?Kwahiyo mnataka kuwatafuna watoto wa watu mpaka lini bwanaa
Tunataka Corona ikiisha tule pilau sieee
Wewe ni mwanaume? Umejuaje haya? Aubunafanya research ya kutafuta mme?Hapa ndio wabongo wengi wanafeli hasa akina Dada ambao hamjaolewa
Ukinichukia Sawa ukiniita old school Sawa maana hapa Nina Miaka 63, nawasaidia Kupunguza malalamiko ya wanaume
Kihalali kabisa na hata ukiuliza walioolewa wenye ndoa za Amani watakwambia kuwa:
Mwanaume MUOAJI, anaetafuta MKE hawezi kukufanyia haya yafuatayo:
1. Kukupiga denda hadharani
2. Kukukumbatia hadharani
3. Kukushika ziwa au Chuchu hadharani
4. Kukushika wowowo hadharani
5.Kuzini na wewe kabla hajakuoa
6. Mahusiano yenu yatakuwa ya muda mfupi Sana, sio zaidi ya Miezi 3
7. Hatokuonyesha Mali zake au fahari ya vitu vya kuonekana kwako kabla hajakuoa
8. Hatokuita usiku usiku sijui mkatembee atahakikisha mitoko yenu ni mchana, penye watu wengi na mwisho kukaa nae itakuwa SAA 12 jioni
Sasa kama wewe bwana ulienae hafanyi haya, ujue unamsindikiza tu kipindi hiki cha Covid19 au unamsindikiza kumpata MKE wake Halali🙈
Mwenye sikio na asikie, nipo hapa namalizia maombi ya siku 3 ya kuombea Taifa letu dhidi ya CORONA 🙏
Mnakaribishwa wanaume kuchangia pia huenda kuna Mengi nimesahau
Hahahahahahah, mi pia nataka nioe mkuuMkuu naomba uwe mshenga wangu aise maana now na mm nataka nioe kipindi hiki cha CORONA. Maana mahari ni kidogo pia hamna sherehe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kuoa kwenu NI mpaka mzeeke mambupu[emoji125]