KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 36,516
- 89,013
Ni mwanamke ambae hajawahi kufanya tendo la ndoa/kwa lugha yenye tafsida ndani yake ni kuwa hajawahi fanyiwa uzinduzi.Teh teh unajua maana ya mtu kuwa bikira mkuu ??
Ni mwanamke ambae hajawahi kufanya tendo la ndoa/kwa lugha yenye tafsida ndani yake ni kuwa hajawahi fanyiwa uzinduzi.Teh teh unajua maana ya mtu kuwa bikira mkuu ??
Mwanamke tu? acha nikuache hivyo hivyo!Ni mwanamke ambae hajawahi kufanya tendo la ndoa/kwa lugha yenye tafsida ndani yake ni kuwa hajawahi fanyiwa uzinduzi.
Wamejaa kibao😳
Mwanaume hawezi kuwa bikra ila Mimi ni kenzy tu.