Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 18,204
- 17,561
- Thread starter
- #41
Hahahahakwakuwa gharama hamna zaidi ya watu sita na padri mmoja. Tutawaoa tu kipindi hichi!
Hahahahakwakuwa gharama hamna zaidi ya watu sita na padri mmoja. Tutawaoa tu kipindi hichi!
AiseeUnapewa kichapo kama umetoroka karantini ukibana miguu
Mbona kuna wadada wanafanyiwa hayo dunia hii hii ya sasa?!Hayo uliyoyaandika hapo hujakosea..ila kuna baadhi ni ngumu kufanywa kwa vitendo kwa hii dunia ya Sasa.
Kiru 🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃Jioni ya kuanzia saa 12 hadi saa 2 usiku , yaani akishakurudisha toka matembezi yenu ya mchana kwenye watu wengi... hapo hapo anakuwa busy kweli jioni hiyooo
Basi hongera zao.Mbona kuna wadada wanafanyiwa hayo dunia hii hii ya sasa?!
Anamalizia maombi ya KITAIFA, na kufuru kwanza🏃🏃🏃
Ndoroooboe 🏃🏃🏃🏃🏃We unataka kupeperusha vipepeo!!
Lkn nachojua wanaume hatushindwi maana hakuna mkate mgumu mbele ya chai😉
Ila hapo la 5 Ni kweli hatuzini nao bali tunafanya mapenzi😜
Kuzini ni kule mpaka kuvunja chaga!, kutoboa kondomu!,kufanya kwa pupa sawa na kubaka😂😜
Ila swala la kupima lazima tupime Kama yaliyomo yamo🤫
Aisee
Ngoja nikamwite Mzee WA upako au Mzee WA Yesu🏃🏃🏃🏃🏃🏃Dadalake vingine hapov hata walokole wenyewe watakubishiaaaa [emoji2][emoji2] Smart911
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe sio muoaji endelea kugema samaki bahariniHiyo umekaririshwa hakuna mfumo maalum wa kumtambua mwanaume muowaji wengine mpaka tukolee ndio tunatangaza nia
Sawa mgemajiHayo yote bila kutesti mitambo ni ubatili mtupu.
Kwahiyo we ulitaka namba 5 iwe ya ukweli.!? Ili mabinti za watu wateseke??Namba tano ni Uongo
Acha uhuni, waache mademu wajifunzi sio kuwatesa Kila siku
🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃Umenena vyema kabisa...
Ila kwa zama hizi ambayo tuna tatizo la binadamu wabishi sana...
Mwanaume usipojiongeza kumfanyia hayo mwanamke wako siyo kwa wote lakini utaonekana ndivyo sivyo... haswa hiyo ya kula tunda...
Utagewa kwa kila namna...
Cc: mahondaw
Jasili huwa haachi asili halafu namba huwa hazidanganyi.Ndoroooboe 🏃🏃🏃🏃🏃
Mbona mnailalamikia Sana namba 5?!Jasili huwa haachi asili halafu namba huwa hazidanganyi.
Kweli kuoa kwenu NI mpaka mzeeke mambupu🏃