Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,154
- 137,162
kazi kweli kweli hapa....ila kwa nature ya kimaumbile kuna mgawanyo wa majukumu.....hata hormone zinatofautia wakati testosterone inayotolewa kwa wingi na wanaume inawafanya wawe more masculine wakati eostrogen kwa wanawake inawafanya wawe soft....ndo maana ikija hatari nyumbani watu wote wanamuangalia baba.Nauliza swali:
Kazi za nyumbani kama vile, kupika, kufua, kufagia na kupiga deki, kuosha vyombo, kwenda kisimani/bombani kuchota maji n.k. Tunapata wapi kuwa ni kazi za kike?
Wakati huo huo hizo kazi zikiwa ni za kuajiriwa na kuna kipato ghafla bin vuu, zinageuka kuwa za kiume... Ajabu!
Labda niulize tena hii kusema kuwa hizo ni kazi za kike ni kwa mujibu wa Imani za Dini, Mila na desturi au ni kwa mujibu wa jamii zinazo tuzunguka?
Naomba wale wenye kutaka kujibu watoe reference aidha kwa mujibu wa imani zao au kwa mujibu wa mila na desturi zao, ili tuone kukataa au kukubali kwao kunatokana na sababu fulani.
Karibuni.
Some of you neanderthals are so stuck on stupid by holding on tight to such falsehoods even to this day and age!
Cooking and performing other household chores does not emasculate a man. I just don't get it why some of you think that that is the case!
Regardless of my relationship status, I cook and clean whenever necessary!
Whenever necessary uunhh!!
Mkuu, kama ni mgawanyo wa majukumu na kwa kuzingatia hiyo testosterone inayo wafanya wanaume wawe masculine, sasa zile kazi zinazo hitaji misuli kama vile kuchota maji uko visimani/bombani kwanini zisifanywe na hao wenye misuli na zikafanywa na wenye misuri laini.... Kwa nini kazi za kulima kwa jembe la mkono kwa baadhi ya makabila bado zia achwa kwa kina mama... kwanini?kazi kweli kweli hapa....ila kwa nature ya kimaumbile kuna mgawanyo wa majukumu.....hata hormone zinatofautia wakati testosterone inayotolewa kwa wingi na wanaume inawafanya wawe more masculine wakati eostrogen kwa wanawake inawafanya wawe soft....ndo maana ikija hatari nyumbani watu wote wanamuangalia baba.
Ndio nikakwambia kuwa kama wewe kwa taratibu za mila na desturi zenu unaona kufanyakazi za kuchota maji kisimani, kulima kwa jembe la mkono ni za kike ni sawa, hakuna ugomvi, japokuwa unakubaliana na dhana kuwa mwanamke ni kiumbe zaifu asiyetakiwa kufanyakazi nzito, ambazo wewe una amini kuwa ni kazi za kiumbe... Unasahau kuwa hata kuchota maji uko kisimani ni moja ya kazi inategemea msuli pia.X-paster
kinachomtengeneza mtu ni jamii inayomzunguka
ukikulia uchagani tunategemea uwe na tabia za huko
ukiwa na tabia za china lazima tukupeleke maabara
ukulie uchagani afu uongee kichina, na tabia zote za kichina???
Hauoni kama ni miujiza???
utakuwa unapinga na theory za human behavior
ndo mana mwanzoni nikasema za baba kupika watoto wamelala ni kacha za kimagharibi zaidi
kama umeishi huko au kukulia huko labda tunaweza elewa
maana ni mazingira yamekulazimisha
kweli turufu hufuata mchezaji,ona sasa kongosho unavyojigonga kwangu!Unaishi mwenyewe weye?
Nije nikupikie?
Ndizi na samaki
na senene kidogo
bila sahau kabalagala na lubisi
Baada ya miaka 20 hata mtu anayepinga mahusiano ya jinsia moja itakuwa wanamshangaa hivi hivi
just a matter of time na kupata exposure za kimagharibi
hata wao wanasema how do you denie someone's happiness eti kisa amefall kwa jinsia moja?
Hawakuchagua, wamejikuta wamefall
hata shoga hajakana uanamme wake na haimwondolei yeye kuitwa mwanamme, ni kwamba tu kaolewa na mwanamme mwenzie.
Mkuu, nadhani unataka kuchanganya mambo hapa, hayo unayo yaeleza hapo juu kuwa baada ya miaka 20 watu watakao pinga mahusiano ya jinsia moja tutamshangaa si kweli, kwasababu wanacho kifanya si katika mambo ya asili ya mwanadamu... Kama umenisoma tangia mwanzo, nilisema kuwa kazi za kike ambazo ni nature kwao ni kuzaa, kunyonyesha watoto kwa kutumia matiti yao kufanya mapenzi kwa jinsi inayokubalika kiasili na si vinginevyo.Baada ya miaka 20 hata mtu anayepinga mahusiano ya jinsia moja itakuwa wanamshangaa hivi hivi
just a matter of time na kupata exposure za kimagharibi
hata wao wanasema how do you denie someone's happiness eti kisa amefall kwa jinsia moja?
Hawakuchagua, wamejikuta wamefall
hata shoga hajakana uanamme wake na haimwondolei yeye kuitwa mwanamme, ni kwamba tu kaolewa na mwanamme mwenzie.
kweli turufu hufuata mchezaji,ona sasa kongosho unavyojigonga kwangu!
(Btw: wewe ni She au He?)
@NN
kama ushoga si tatizo watanzania tuling'aka nini baada ya kamerun kusema tuwatambue?
Its their own life kuchagua kupendana,
sasa sisi kama taifa tulikataa nini
hadi kufikia mkuu wetu kusema 'Yarabi tobaa!'
nimelinganisha na upishi sababu zote ni tabia za kike.
Ndio nikakwambia kuwa kama wewe kwa taratibu za mila na desturi zenu unaona kufanyakazi za kuchota maji kisimani, kulima kwa jembe la mkono ni za kike ni sawa, hakuna ugomvi, japokuwa unakubaliana na dhana kuwa mwanamke ni kiumbe zaifu asiyetakiwa kufanyakazi nzito, ambazo wewe una amini kuwa ni kazi za kiumbe... Unasahau kuwa hata kuchota maji uko kisimani ni moja ya kazi inategemea msuli pia.
Hatupo hapa kuonyeshana nani anakichwa kigumu au laini, kuwa na adabu kwa wakubwa zako kijana... Heshima ni kitu cha bure.Kongosho wasipokuelewa watakua wana vichwa vigumu sana!
Mkuu, upishi kumbe ni tabia, nilikuwa silijui ili.@NN
kama ushoga si tatizo watanzania tuling'aka nini baada ya kamerun kusema tuwatambue?
Its their own life kuchagua kupendana,
sasa sisi kama taifa tulikataa nini
hadi kufikia mkuu wetu kusema 'Yarabi tobaa!'
nimelinganisha na upishi sababu zote ni tabia za kike.
nakuja kupika
nshanunua samaki wangu
na matoke nimepitia hapa mabibo
nielekeze njia ya kupita basi
Ni kweli maneno yako.... Ila sioni uhusiano wa IQ na kazi za nyumbani.IQ zetu zipo tofauti sana!!
Ni kweli maneno yako.... Ila sioni uhusiano wa IQ na kazi za nyumbani.