Unacceptable by whom?kamon liz
s.e.x ni biology
kama kiumbe hai yeyote we need it
soona fter adolescence
tunajizuia sababu ya lifestyle
kuzaa nje ya ndoa is unacceptable
kwa mazingira yetu
japo inawezekana
Not to forget ni ajira pia, Si unampata Jamie Oliver (dume flani) "The naked chef" mzembe anakusanya hela mbaya sana samtaim anapata mwaliko wa kumpikia mpaka queen.
Kisa cha kutamanisha wengine aiseee?Nimetoka kukorofisha kiti moto na sasa hivi najichana hapa na lemonade yangu bariiiidi iko pembeni.
Binafsi sina tatizo kabisa na kupika na uanaume wangu hauwi defined na kupika au kufanya kazi zingine za ndani ya nyumba, iwe nina mke au la!
Hahahahaha.BAK bana. . . .chukua tano umgawie Vin D nusu.Kupika ndio mpango mzima, acha wanaoponda na waendelee."...Nakuona umechoka sana leo, basi kaoge tu upumzike wakati nakorofisha msosi huku jikoni, nikimaliza nami nitaenda kuoga halafu tuje tujichane." Kwa wengine hili si jambo la ajabu kabisa.
Hahahahaha, kwahiyo hua wanalipizia kwingine?Lizzy,
Believe it or not hakuna mwanaume *****. Ni watu wanajidanganya tu. Bottom line, huyo mwanaume anayeonekana ***** ana mambo ya ajabu ambayo mkewe akisikia anaweza kufa na pressure. Mbele ya mkewe anakuwa *****. Ndio maana hawa wanaume wanapofariki, kunakwua na mambo ya ajabu sana. mwanume aliyekuwa anaonekana ***** na mwanamke kujisifia amemtawala, ustangaa siku ya msiba wake watoto wa mitaani wanavyoletwa, na ukiangalia ni photocpy...
Hakuna mwanaume ***** hata mmoja.....
Not to forget ni ajira pia, Si unampata Jamie Oliver (dume flani) "The naked chef" mzembe anakusanya hela mbaya sana samtaim anapata mwaliko wa kumpikia mpaka queen.
vp mkuu umeshafika ulipokuwa unakimbilia?Aseeee......
basi kuna m.ahanithi flani hivi nawajuaga, wanapikaga! hata hawaogopagi!
Hayo ya huyo VD wako yabaki kama yalivyo, huwezi linganisha mtu anaekimbia majukumu yake kwaajili ya hobby na mtu anaefanya zaidi kwaajili ya famili yake bila kujali maneno ya watu.wanaopika kama njia ya kujipatia hela is a different case.
km jiko lenyewe ni la kuni au mkaa ,kupika inakuwa ni soo.....ila thnks kwa teknolojia ,mwanaume kupika saiv ni rahisi kidogo.basi tusishangae hata vasco dagama wetu kwenda trip ambazo angemwachia hata katibi tarafa akazifanya na yeye kubaki na kufanya mambo mengine ya msingi
mgawanyo wa kazi upo tu katika taasisi mbali mbali na familia ikiwemo
afadhali hata kwa ambaye hajaoa kupika lakini aliyeoa sijui binti zake wako sebuleni na mama yao wamekunja miguu baba yuko jikoni anachochea kuni huo ni up**zi
wanaopika kama njia ya kujipatia hela is a different case.
Hayo ya huyo VD wako yabaki kama yalivyo, huwezi linganisha mtu anaekimbia majukumu yake kwaajili ya hobby na mtu anaefanya zaidi kwaajili ya famili yake bila kujali maneno ya watu.
Nwy huo utofauti ndio upi vile?
Wao wanapopikia sio jikoni?Au imperfections zao zinakubalika?
km jiko lenyewe ni la kuni au mkaa ,kupika inakuwa ni soo.....ila thnks kwa teknolojia ,mwanaume kupika saiv ni rahisi kidogo.