Mwanaume msafi anayejiheshimu, huvutia wanawake

Mwanaume msafi anayejiheshimu, huvutia wanawake

Mdomo unanuka, Miguu inanuka, Unachomekea shati kujionesha unajiheshim wakati kila mtu kitaa anajua una mitabia ya ajabu, Dem hata humjui unampigia mluzi akiwaambia wenzie unaoneka muhuni tu hata uende church kila j2 hapo ukipewa penzi jombaa jua unalinunua sio kupewa kwa dhati.
Wengi sana wanajaribu ku act kuwa wanajiheshim ila mwanamke alijaaliwa jicho la tatu, Ukipretend kwake ni rahisi sana kujua, Binafsi nimedate na watoto wakali tu Arusha na sijawahi kumsikia hata moja akiianzisha ishu za pesa zaidi zaidi labda niamue mwenyewe. Nipo Mbeya kwa sasa na hali ni hivyo hivyo nme date na visu lakini hakuna stori za pesa...Jiheshim kijana na uwe msafi

Spot on mkuu!, umegusa yote. Pamoja na usafi mwingine, usafi wa tabia na kauli.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Picha za hao mabinti kwanza ili tuweze kuamini unachosema
 
Usafi hauhitaji uwe milionea au bilionea. Huwezi kujiachia mwili wako na maeneo unayoishi uwe/yawe machafu mpaka uanze kukimbiwa na watu kwa harufu mbaya au kukereka kwenye eneo unaloishi kwa harufu mbaya kwa kisingizio cha kutokuwa na pesa.

Hasa makwapa unakuta mtu kavaa vizuri sana tu.Ukimsogelea kichwa kitauma Kwa harufu ya kwapa Halafu anapuliza manukato juu yake [emoji849]
Dawa za makwapa ziko Hata kama haziko ndimu Au limao linasaidia kutoa harufu ya kwapa.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Usijali bro.
You are funny, unaongeaga point sana mi huwa nakucheki, ila huwa una pick little things you dont have to disappoint you, rather than big things you have to cheer you up.

Lazima maisha yasonge bro, ila nakuaminiaga sana mkuu.be blessed
Dah blessings zimenikuta nimelala natumaini zitafanya kazi mpaka sasa hivi.

Pamoja mkuu.
 
Mdomo unanuka, Miguu inanuka, Unachomekea shati kujionesha unajiheshim wakati kila mtu kitaa anajua una mitabia ya ajabu, Dem hata humjui unampigia mluzi akiwaambia wenzie unaoneka muhuni tu hata uende church kila j2 hapo ukipewa penzi jombaa jua unalinunua sio kupewa kwa dhati.
Wengi sana wanajaribu ku act kuwa wanajiheshim ila mwanamke alijaaliwa jicho la tatu, Ukipretend kwake ni rahisi sana kujua, Binafsi nimedate na watoto wakali tu Arusha na sijawahi kumsikia hata moja akiianzisha ishu za pesa zaidi zaidi labda niamue mwenyewe. Nipo Mbeya kwa sasa na hali ni hivyo hivyo nme date na visu lakini hakuna stori za pesa...Jiheshim kijana na uwe msafi
Mtu anayejiheshimu Huwa na msichana mmoja
 
Kuna mdau atakuja atasema 'wanawake hawaeleweki wanataka nini' 'pesa ishatajwa' atakuja mdau mwingine atasema 'hao ni wa mtaani kwako huku kwetu hamna hilo' mwingine atasema 'haya basi tushajua kama umepanga'.

Ngoja nione
Kuna dem mmoja hapa JF alisema anapenda harufu ya jasho la mwanaume..
 
Man!!
You always pitty yourself with everything, cheer up dude! sometimes your attitude pulls you down, wanayo yaongea hapa sio sheria.
Dont pitty yourself too much, be strong and live life bro.

Asante sana nimebarikiwa na
Wanayoyaongea hapa sio sheria
Be strong and live life
 
Hata kwetu mademu nao wapo waliokuwa wachafu na wale wanatakaga nini.?
 
kunuka viatu...mdomo,kwapa,jasho.kuvaa nguo zinazovunda ni common sana kwa kaka zetu.nikipanda daladala likijaa hasa msimu huu wa mvua nashindwa kupumua sawasawa.ni wachache mno wanaojupenda na kuwa safi.
 
Get a girl like you by anymeans, *** her then that should be the end of the story. Sishauri wastage of time zaidi mwishowe mtu anajiona mtaamu...potezea tu!
Afterall there so many fish in a pool,tutapenda wangapi while we are already outnumbered!
 
Ndenge wanao fanana huruka pamoja...ukiwa msafi utapata wasafi...na ukiwa mchafu utapata wachafu wenzako....kila mtu anapata chenye anaendana nacho...over
 
Back
Top Bottom