Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 119,702
- 142,514
Uzi unapendeza...
Yes my super dear... You are my happiness as well... You are my queen...
Uzi unapendeza...
Muite mkwe nae aelewe.Asante jose jamaan wanaume watakuwa wamekuelewa ila wavulana hawataelewa
Hivi unaanzaje kuwa mwema kwa watu wa nje zaidi ya kwa mpenzi wako!!! Ili ugundue nini!!Tena nondo haswa, nili miss.
Kuna kitu niligundua juzi kati hapa, kuna wanaume wanakuwa watu wazuri na wema kwa watu wa nje lakini si kwa wapenzi wao inashangaza sana kwa kweli. Halafu mara nyingi unakuta hawataki kuwaacha and at the same time wana wa treat like sh*t. Mtu kama umemchoka si mwache aende!
Nimependa sana hii ya kumpa mkeo tabasamu kama ulilompa siku ya harusi mbele ya umati.
Hivi unaanzaje kuwa mwema kwa watu wa nje zaidi ya kwa mpenzi wako!!! Ili ugundue nini!!
Huwa anampa tabasamu kama hilo hapo kwenye avatar yako!Kakaa WiFi yng huwa unampa tabasamu
Mi hii avatar yako tu, hua nacheka sana...kila comment lazima niisome afu nirudi kuangalia avatar, ..but umenena vyema.Mpe mkeo sababu ya kuendeelea kutabasamu, tunajua amevumilia mengi mpaka kufikia kuitwa mke wako. Unapoalikwa kwenye harusi na kumuona bibi harusi akitabasamu usijekuangalia na kuwaza ukasema yule mwanamke ana furaha.
Hapana wanawake wengi mpaka kufikia ndoa wanakua wamepitia mengi, vipigo, manyanyaso, usaliti na mambo mengi ya ajabu ambayo wameamua kuyavumilia wakiamini kua labda baada ya kuolewa mambo yatabadilika.
Wengi hawacheki na kutasabasamu kwakua wana furaha, hapana wengi hucheka na kutabasmau kwakua wanamatumaini kua labda mwanaume baada ya kumuweka ndani basi atabadilika na kuwa mwanaume wa ndoto yao.
Wanatabasamu lakini wakiwa na mashaka kama ndoa itadumu huku wakiwa na kibarua si tu cha kulinda ndoa zao bali kulinda heshima za familia zao, kwamba watu wasije kusema kuwa ile familia haiolewi kwakua wana tabia flani.
Hembu kama wewe ni mwanaume najua unajua mambo ambayo umemfanyia mkeo kipindi cha uchumba, hembu leo amua na kusema hapana, sitaki mke wangu ushindane na michepuko yangu, nimeshakuoa wewe sitaki uvumilie mateso bali uvumilie shida na tutavumilia pamoja.
Muambie mkeo nakupenda na hata kama hutaweza kusema nisamehe kwa mdomo sema kimoyomoyo( japokuwa ni vyema zaidi ukamwambia live) na muambie nisamehe huko kichwani kwako, badilika na mpe tabasmau la milele, dumisha lile tabasamu ambalo ulimpa siku ya harusi mbele ya ndugu zenu na marafiki zenu.
Credits: Iddi Makengo
Ahahaah poa asee mkuuMi hii avatar yako tu, hua nacheka sana...kila comment lazima niisome afu nirudi kuangalia avatar, ..but umenena vyema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Changia tu mkuu haujazuiwa
Ungekuwa uzi wa kuhusu kuwapa furaha wanaume wangejazana hapa na ubinafsi wao. Huu wa kuwapa furaha wake zao kama hawauoni vile teh
Eeeh nilijua mimi peke yangu ndo sielewagi hiliTeh!, ili ugundue nini. Inashangaza sana kwa kweli.
Ukarimu kwa wa nje, dharau kwa mwandani. Sijui mtu atajivunia nini kama ndani kwake hakuna amani.
Ungekuwa uzi wa kuhusu kuwapa furaha wanaume wangejazana hapa na ubinafsi wao. Huu wa kuwapa furaha wake zao kama hawauoni vile teh
Ndoa is all about furaha yao, so hapa wanaona uzushi tuHaha, si unaona hapo juu wala hawaelewi kama wanaweza changia au no.
Sijui ni kuonyesha hawana zuri la kuwaongelea wanawake?