Mwanaume: Mpe mkeo tabasamu la milele

Ndoa is all about furaha yao, so hapa wanaona uzushi tu

Asee!, kazi ipo Basi.

Kuna mtu alisemaga eti ukiona Me na Ke kwenye gari wamekaa ki couple halafu wanafurahiana ujue ni mtu na mcheps, na ukiona hivyo lakini kila mtu kanuna ujue ni mke na mume..lol!
Na mara nyingi kama Me kwenye mahusiano ndio hana furaha basi hata sisi tunakuwa hivyo hivyo.
 
Eeh wenyewe mara nyingi furaha yao wanashare nje sio na wake zao
 
That's so great. As my one and only amazing king Smart911 does to his queen..

Mahondaw wa Smart911
ee01e7932ee40a86cbcba5403364e9f2.jpg
Na dada yako kasie mko vizuri
 
Tena nondo haswa, nili miss.
Kuna kitu niligundua juzi kati hapa, kuna wanaume wanakuwa watu wazuri na wema kwa watu wa nje lakini si kwa wapenzi wao inashangaza sana kwa kweli. Halafu mara nyingi unakuta hawataki kuwaacha and at the same time wana wa treat like sh*t. Mtu kama umemchoka si mwache aende!

Nimependa sana hii ya kumpa mkeo tabasamu kama ulilompa siku ya harusi mbele ya umati.
Lazima kuna tatizo sio bure
 
Good good my sista
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom