Mwanaume: Mpe mkeo tabasamu la milele

That's so great. As my one and only amazing king Smart911 does to his queen..

Mahondaw wa Smart911
ee01e7932ee40a86cbcba5403364e9f2.jpg
Uzi unapendeza...
Yes my super dear... You are my happiness as well... You are my queen...
 
Huu uzi mbona umepoa wakati ni nondo hivyo!!
Heaven Sent
Nalendwa mlipita kipande hii?


Tena nondo haswa, nili miss.
Kuna kitu niligundua juzi kati hapa, kuna wanaume wanakuwa watu wazuri na wema kwa watu wa nje lakini si kwa wapenzi wao inashangaza sana kwa kweli. Halafu mara nyingi unakuta hawataki kuwaacha and at the same time wana wa treat like sh*t. Mtu kama umemchoka si mwache aende!

Nimependa sana hii ya kumpa mkeo tabasamu kama ulilompa siku ya harusi mbele ya umati.
 
Tena nondo haswa, nili miss.
Kuna kitu niligundua juzi kati hapa, kuna wanaume wanakuwa watu wazuri na wema kwa watu wa nje lakini si kwa wapenzi wao inashangaza sana kwa kweli. Halafu mara nyingi unakuta hawataki kuwaacha and at the same time wana wa treat like sh*t. Mtu kama umemchoka si mwache aende!

Nimependa sana hii ya kumpa mkeo tabasamu kama ulilompa siku ya harusi mbele ya umati.
Hivi unaanzaje kuwa mwema kwa watu wa nje zaidi ya kwa mpenzi wako!!! Ili ugundue nini!!
 
Mpe mkeo sababu ya kuendeelea kutabasamu, tunajua amevumilia mengi mpaka kufikia kuitwa mke wako. Unapoalikwa kwenye harusi na kumuona bibi harusi akitabasamu usijekuangalia na kuwaza ukasema yule mwanamke ana furaha.

Hapana wanawake wengi mpaka kufikia ndoa wanakua wamepitia mengi, vipigo, manyanyaso, usaliti na mambo mengi ya ajabu ambayo wameamua kuyavumilia wakiamini kua labda baada ya kuolewa mambo yatabadilika.

Wengi hawacheki na kutasabasamu kwakua wana furaha, hapana wengi hucheka na kutabasmau kwakua wanamatumaini kua labda mwanaume baada ya kumuweka ndani basi atabadilika na kuwa mwanaume wa ndoto yao.

Wanatabasamu lakini wakiwa na mashaka kama ndoa itadumu huku wakiwa na kibarua si tu cha kulinda ndoa zao bali kulinda heshima za familia zao, kwamba watu wasije kusema kuwa ile familia haiolewi kwakua wana tabia flani.

Hembu kama wewe ni mwanaume najua unajua mambo ambayo umemfanyia mkeo kipindi cha uchumba, hembu leo amua na kusema hapana, sitaki mke wangu ushindane na michepuko yangu, nimeshakuoa wewe sitaki uvumilie mateso bali uvumilie shida na tutavumilia pamoja.

Muambie mkeo nakupenda na hata kama hutaweza kusema nisamehe kwa mdomo sema kimoyomoyo( japokuwa ni vyema zaidi ukamwambia live) na muambie nisamehe huko kichwani kwako, badilika na mpe tabasmau la milele, dumisha lile tabasamu ambalo ulimpa siku ya harusi mbele ya ndugu zenu na marafiki zenu.


Credits: Iddi Makengo
Mi hii avatar yako tu, hua nacheka sana...kila comment lazima niisome afu nirudi kuangalia avatar, ..but umenena vyema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom