Pigia mstari mkuu.Kwani nawewe pia huwa unapiga kitwanga?
Ukiona hauwezi kusimamia show bila kulewa basi Hapo ndo urijali unapotoweka sasa,hahaha viroba vi3 demu lazima akimbie ndani kwa kushindwa au kuna moja hiyo ya Malawi inaitwa Bwenzi Charger hyo ukinywa unakuwa fiti sana muda wa sex
alafu hao wake za watu ngoja uingie kwenye 18 uje kuleta marejesho hapa jf
au wapUkiona hauwezi kusimamia show bila kulewa basi Hapo ndo urijali unapotoweka sasa,
Wee tatizo lako unashindwa kujua kwamba "the good thing about science is, whether it is TRUE or NOT we have to accept it"chuma cha reli Na 4G LTE njooni na mkalimani wenu
KO we unataka kutuambia unaujua uzee wako,kwamba utakuwa umeshashinda tatu bila (3-0) ...kwi kwi kwiFainali uzeeni
Mkuu Kwa jinsi unavyoitetea pombe laiti kama ungevitetea vitu vya maana ingekuwa bora sanaWee tatizo lako unashindwa kujua kwamba "the good thing about science is, whether it is TRUE or NOT we have to accept it"
Hata Dunia iliwahi kuamini ipo tambalale for almost 5 centuries until Galilee Galileo alipowaambia Dunia ni tufe lakini walibisha na kumwekaa kizuizini huko katika visiwa vya italia
Juzi NASA wamegundua sayari inayofanana na Dunia 100%sasa jiulize siku zote mbona hawakuigundua
Cancer imeonekana kwa miaka mingi inasababishwa na vyakula which is not true kwa utafiti wa hivi karibuni.
Kweli Mimi ni mlevi na it doesn't kill me now...period