Mwanaume mlevi hawezi kumfikisha mwanamke kileleni

Mwanaume mlevi hawezi kumfikisha mwanamke kileleni

mkuu ebu jaribu kupiga kitu cha K VANTE changanya na sprite uje utupe mlejesho,kama tunashow za kibabe hua tunapiga vitwanga,utafiti wako hauna ukweli wowote
 
NAONA MADA INAGEUZWA:
Ukweli ni kwamba walevi wanafaida kuu mbili hapa dunia ya Tanzania: 1,wanachangia uchumi wa nchi kupitia kodi 2. wake zao wanapatikana bila gharama kubwa, zaidi ni gharama za gesti ya (ingawa wakati mwingine wao udhamini shoo ya ugenini).
 
hahahahhaahah bhana acha hizo vitu, tupiamo picha bhana tujifunze kwa vitendo
Umesema niwakate vichwa alafu ndo niwalete viwiliwili????
Au sikukuskia vizuri??
 
NAONA MADA INAGEUZWA:
Ukweli ni kwamba walevi wanafaida kuu mbili hapa dunia ya Tanzania: 1,wanachangia uchumi wa nchi kupitia kodi 2. wake zao wanapatikana bila gharama kubwa, zaidi ni gharama za gesti ya (ingawa wakati mwingine wao udhamini shoo ya ugenini).
Hahaha, wake zao ni mabaamedi nini
 
Mwanaume mlevi ni ngumu sana kumfikisha mwanamke kileleni this is a fact. Wanaume wengi mnagongewa wasichana zenu na wake zenu kwa kuendekeza pombe especially bia, vikao vya bia haviishi, muda wa kukaa na msichana wako au mkeo huna, unarudi umelewa unazima, hiyo moja, 2 unapiga masanga unalewa, unakuja unaomba mechi, ukipewa vitu dakika 5 nyingi unamwaga povu halafu unazima kama trekta la Massey Ferguson.

Kweli huyu mwanamke atavumilia aone minute again? Siku ampe mzee wa kazi STUNTER anayejua kokoto ni kokoto na jiwe ni kaka yake kokoto, unakuta kalima lami muda si muda, wanawake feelings zao kuibiwa rahisi, atakusahau na hata ukiendelea kuwa wake hisa asilimia 80 kashapewa msela wewe upige usipige ye kashapata wa kumshushia vitu mupe muruke mupe, wewe unabakia na boyfriend jina

Si ajabu hata wewe ni boyfriend jina tu, ila kuna mtu anaipiga hiyo kitu mpaka inabakia na rangi ya royco wewe lewa wee, yumba wee, mwenzio katulizwa tayari nimemaliza, mwanaume hasifiwi chupa ngapi za bia, anasifiwa 'kazi'

Thread hii imejipost yenyewe kutoka Dubai shambani kwahisani ya wahaya wenye asili ya kichaga.
mkuu ipo hivi hakuna bao tam na la kusisimua kama ukiwa umekunywa pombe alafu Iwe konyagi mix na zanzi au amarula kwanza linatoka bao nzito na crime pia kwa mtu alie kunywa pombe hufurahia sana penzi na humfurahisha sana mwenzi wake na huweza kustrago Muda mrefu mimi now nimeacha pombe ila sienjoy sex kama kipindi kile nakunywa
 
Kuna mnywaji,wa kwaida beer 1or2 kwa afya huyu sx haimpi tabu coz kwa wengine ndo wanapata stamina,but hapa kama wanazungumziwa walevi kwa kweli wakisharud hme ni usingiz fo fofo,ndio hapo mwmke atatoka nje tu
 
Hii thread haina ukweli labda anawaongelea walevi mbwa.
 
nakusubir mbona hutokeziiii, au utume tu hapa bhana ikiwezekana kata hivyo vichwa vyao uniletee viwili wili
Yani umenikana hivi hivi???? Wee sio mtu mzuri, au ndio una.....
 
Back
Top Bottom