Mwanaume mlevi hawezi kumfikisha mwanamke kileleni

Mwanaume mlevi hawezi kumfikisha mwanamke kileleni

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,077
Reaction score
17,264
Mwanaume mlevi ni ngumu sana kumfikisha mwanamke kileleni this is a fact. Wanaume wengi mnagongewa wasichana zenu na wake zenu kwa kuendekeza pombe especially bia, vikao vya bia haviishi, muda wa kukaa na msichana wako au mkeo huna, unarudi umelewa unazima, hiyo moja, 2 unapiga masanga unalewa, unakuja unaomba mechi, ukipewa vitu dakika 5 nyingi unamwaga povu halafu unazima kama trekta la Massey Ferguson.

Kweli huyu mwanamke atavumilia aone minute again? Siku ampe mzee wa kazi STUNTER anayejua kokoto ni kokoto na jiwe ni kaka yake kokoto, unakuta kalima lami muda si muda, wanawake feelings zao kuibiwa rahisi, atakusahau na hata ukiendelea kuwa wake hisa asilimia 80 kashapewa msela wewe upige usipige ye kashapata wa kumshushia vitu mupe muruke mupe, wewe unabakia na boyfriend jina

Si ajabu hata wewe ni boyfriend jina tu, ila kuna mtu anaipiga hiyo kitu mpaka inabakia na rangi ya royco wewe lewa wee, yumba wee, mwenzio katulizwa tayari nimemaliza, mwanaume hasifiwi chupa ngapi za bia, anasifiwa 'kazi'

Thread hii imejipost yenyewe kutoka Dubai shambani kwahisani ya wahaya wenye asili ya kichaga.
 
hahahahaha eti Wahaya wenye asili ya Kichaga, wakoje hao tujuze.
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Kwa hiyari yangu mwenyewe bila kulazimishwa na kikundi chochote cha utamaduni, uzi huu sihusiki nao. Kama unabisha ni wewe tu, hakyanane.
 
nakusubir mbona hutokeziiii, au utume tu hapa bhana ikiwezekana kata hivyo vichwa vyao uniletee viwili wili
Tulia, ukikutana na picha ya baba paroko usinilaumu
 
Back
Top Bottom