Mwanaume mlevi hawezi kumfikisha mwanamke kileleni

Kwahiyo ulevi tu nsio unasabishwa mtu ashindwe kumfikisha mpenziwe ? Unataka tuqmini hivyo ? Wengine tunalewa ucku na mchana tunagonga vipigo vya haja.kwa mm kugonga hakuna cha ucku na muda wowote
Wake zenu Ndo wanaongoza kwa kuchepuka, sijui nani alowadanganya kwamba kusimamia show kwa masaa sita ndo uanaume,
Mwanaume Kamili anaweza kupewa dakika 10 tu zikatosha kumpagawisha manzi
 
Mkuu Kwa jinsi unavyoitetea pombe laiti kama ungevitetea vitu vya maana ingekuwa bora sana
Hapana najaribu kujibu hoja zako kwa staili ya rhetorical analysis ili upate maana kamili ya nilicholimaanisha
 
Mwanaume mlevi ni ngumu sana kumfikisha mwanamke kileleni this is a fact. Wanaume wengi mnagongewa wasichana zenu na wake zenu kwa kuendekeza pombe especially bia, vikao vya bia haviishi, muda wa kukaa na msichana wako au mkeo huna, unarudi umelewa unazima, hiyo moja, 2 unapiga masanga unalewa, unakuja unaomba mechi, ukipewa vitu dakika 5 nyingi unamwaga povu halafu unazima kama trekta la Massey Ferguson.

Kweli huyu mwanamke atavumilia aone minute again? Siku ampe mzee wa kazi STUNTER anayejua kokoto ni kokoto na jiwe ni kaka yake kokoto, unakuta kalima lami muda si muda, wanawake feelings zao kuibiwa rahisi, atakusahau na hata ukiendelea kuwa wake hisa asilimia 80 kashapewa msela wewe upige usipige ye kashapata wa kumshushia vitu mupe muruke mupe, wewe unabakia na boyfriend jina

Si ajabu hata wewe ni boyfriend jina tu, ila kuna mtu anaipiga hiyo kitu mpaka inabakia na rangi ya royco wewe lewa wee, yumba wee, mwenzio katulizwa tayari nimemaliza, mwanaume hasifiwi chupa ngapi za bia, anasifiwa 'kazi'

Thread hii imejipost yenyewe kutoka Dubai shambani kwahisani ya wahaya wenye asili ya kichaga.
Hahahhaaaa eti ....mupe muruke mupe...
 
Wake zenu Ndo wanaongoza kwa kuchepuka, sijui nani alowadanganya kwamba kusimamia show kwa masaa sita ndo uanaume,
Mwanaume Kamili anaweza kupewa dakika 10 tu zikatosha kumpagawisha manzi
Kweli kabisa nani anataka kuchubuanaaa!!! Cha muhimu kukojozana na sio kuoteshana sugu.
 
Walevi wengi hawana mwisho mzuri
Literally you're wrong unless otherwise you came out with a full research not hypothetical situation.

Hakuna mwisho mzuri esp in Africa na pombe bado haijawa ni tatizo bali ni sehemu pekee ya utamaduni wetu ambayo inataliwa tuienzi
 
mkuu ipo hivi hakuna bao tam na la kusisimua kama ukiwa umekunywa pombe alafu Iwe konyagi mix na zanzi au amarula kwanza linatoka bao nzito na crime pia kwa mtu alie kunywa pombe hufurahia sana penzi na humfurahisha sana mwenzi wake na huweza kustrago Muda mrefu mimi now nimeacha pombe ila sienjoy sex kama kipindi kile nakunywa
Jaribu unga utaona ni zaidi ya pombe kama wapata uzito na cream basi kwasembe utapata mawe na red
Haujawahi kuwaona???

Wanaume walevi wanapiga miti acha tu, akipanda hashuki
 
Literally you're wrong unless otherwise you came out with a full research not hypothetical situation.

Hakuna mwisho mzuri esp in Africa na pombe bado haijawa ni tatizo bali ni sehemu pekee ya utamaduni wetu ambayo inataliwa tuienzi
Watu ini / figo zinafeli kwa kunywa Gongo, licha ya wanaotatuliwa marinda baada ya kuzima wakati wa kulewa....
Huo ni ushahidi mdogo tu wa Ulevi...
 
Jaribu unga utaona ni zaidi ya pombe kama wapata uzito na cream basi kwasembe utapata mawe na red
Heheheh... ajaribu aone kama kesho hatokuta video clip zake mitandaoni
 
Mwanaume mlevi ni ngumu sana kumfikisha mwanamke kileleni this is a fact. Wanaume wengi mnagongewa wasichana zenu na wake zenu kwa kuendekeza pombe especially bia, vikao vya bia haviishi, muda wa kukaa na msichana wako au mkeo huna, unarudi umelewa unazima, hiyo moja, 2 unapiga masanga unalewa, unakuja unaomba mechi, ukipewa vitu dakika 5 nyingi unamwaga povu halafu unazima kama trekta la Massey Ferguson.

Kweli huyu mwanamke atavumilia aone minute again? Siku ampe mzee wa kazi STUNTER anayejua kokoto ni kokoto na jiwe ni kaka yake kokoto, unakuta kalima lami muda si muda, wanawake feelings zao kuibiwa rahisi, atakusahau na hata ukiendelea kuwa wake hisa asilimia 80 kashapewa msela wewe upige usipige ye kashapata wa kumshushia vitu mupe muruke mupe, wewe unabakia na boyfriend jina

Si ajabu hata wewe ni boyfriend jina tu, ila kuna mtu anaipiga hiyo kitu mpaka inabakia na rangi ya royco wewe lewa wee, yumba wee, mwenzio katulizwa tayari nimemaliza, mwanaume hasifiwi chupa ngapi za bia, anasifiwa 'kazi'

Thread hii imejipost yenyewe kutoka Dubai shambani kwahisani ya wahaya wenye asili ya kichaga.
Cjui kuhusu walevi ila mim nikinywa nakuwa stable three tyms of normal circumstance( mimi sio mlevi ila i drink occasionally)
 
inategemea na nguvu ya mtu inawezeshwa na pombe au chakula??/ STUNTER,,
Kwanza ile harufu ya pombe tu basi kwa wanawake wengine huwa inawakata hisia zao fasta...
Alafu mwanaume ikifika hatua kwamba hauwezi kupush bila kutumia alcohol basi ujue ndo upo ukingoni
 
Cjui kuhusu walevi ila mim nikinywa nakuwa stable three tyms of normal circumstance( mimi sio mlevi ila i drink occasionally)
Kwahiyo ukitumia kilevi unakuwa haulewi au???
 
we unajua kila mlevi apig mambo sana je walev wa komoni . kihambule ..wape dem wako uone
 
Back
Top Bottom